Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kagame:Onyo kwa wasaliti Rwanda

Rais Paul Kagame wa Rwanda ameonya kwamba atakayethubutu kulisaliti taifa hilo atakiona cha moto.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mwanamuziki maarufu wa Rwanda afungwa miaka 10 jela kwa kupanga njama dhidi ya Rais Kagame

Mahakama ya Rwanda Ijumaa iliyopita ilimhukumu mwanamuziki maarufu wa nchini humo, Kizito Mihigo kifungo cha miaka 10 jela kwa kosa la kupanga njama dhidi ya serikali ya Rais Paul Kagame. Kizito Mihigo Mihigo alipatikana na hatia ya kuanzisha kundi la kihalifu na njama ya kutekeleza mauaji japo jaji alitupilia mbali makosa ya kuhusika kwenye vitendo […]

 

10 years ago

Vijimambo

Muimbaji Maarufu Rwanda Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama Kumuua Rais Kagame.

Muimbaji maarufu wa Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kumuua Rais Kagame na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.
Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kumuua Rais Paul KagameMshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa ugaidi na matusi.Ameendelea kukataa mashtaka...

 

9 years ago

Mwananchi

Asilimia 90 Rwanda wamtaka Kagame

Wakati Wanyarwanda wakipiga kura ya mabadiliko ya katiba kesho ili kumuwezesha Rais Paul Kagame kuongoza muhula mwingine ,utafiti wa Ipsos unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 90 ya wananchi wa taifa hilo wanataka kuendelea kuongozwa na kiongozi huyo.

 

9 years ago

BBC

Rwanda's Kagame to run for third term

Rwanda's President Paul Kagame confirms he will seek re-election for a third term in 2017 after constitutional changes that could allow him to stay in power until 2034.

 

11 years ago

Mwananchi

Kagame: Tutamshughulikia yeyote anayeisaliti Rwanda

Rais Paul Kagame wa Rwanda ameonya kwamba yeyote atakayewasaliti Wanyarwanda na Serikali yake anastahili kuchukuliwa hatua kali na kwamba amejitolea maisha yake kuijenga na kuhakikisha Rwanda inakuwa salama dhidi ya wote wasio na mapenzi mema.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kagame: Raia wa Rwanda walitaka wenyewe

Rais wa Rwanda Paul Kagame ametetea uamuzi wa taifa hilo kuandaa kura ya maoni kuhusu muhula wa rais akisema lilikuwa wazo la Wanyarwanda.

 

9 years ago

TheCitizen

Rwanda votes yes to allow extra terms for Kagame

Rwanda has voted to change the constitution to allow President Paul Kagame to potentially rule until 2034, according to partial referendum results, election officials said on Saturday.

 

10 years ago

BBC

Rwanda singer planned to kill Kagame

A popular Rwandan singer is jailed for 10 years after being convicted of planning to kill President Kagame and inciting hatred against the government.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani