Kajala akunwa na kumwaga mahela kwa waimbaji wa Skylight Band wanaotoa burudani kila Ijumaa Thai Village, Masaki
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village huku akipewa sapoti na Digna Mbepera.
Digna Mbepera na Bela Kombo wakimpa back up Aneth Kushaba AK47 kwenye show zao za kila Ijumaa ndani ya viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.
Majembe ya Skylight Band yakionyesha manjonjo yao jukwaani Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki.
Aneth Kushaba na Sam Mapenzi wakiwapa raha mashabiki wao...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog27 Feb
Njoo upunguze ‘stress’ za wiki nzima kwa burudani ya ‘Live Music’ na Skylight Band leo @Thai Village-Masaki
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi.
It’s Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band,
Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa live#
Come and...
11 years ago
Dewji Blog30 May
Skylight Band waleta homa ya burudani ndani ya Jiji la Dar, njoo utibiwe Thai Village Ijumaa hii kwa burudani ya nguvu
Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village.
Aneth Kushaba AK47 toka kulia akiongoza makamuzi ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Joniko Flower kushoto akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba.
10 years ago
GPL
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
10 years ago
Dewji Blog22 May
Skylight Band yarejesha ratiba yake ya burudani kila Ijumaa, sasa ni kiota kipya cha “Lukas PUB” Masaki leo
Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani).
Ashura Kitenge mwenye sauti ya kumtoa nyoka panoni akiimba kwa hisia kali huku akisindikizwa na Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 Jumamosi iliyopita ndani ya Mzalendo Pub.
10 years ago
Dewji Blog06 Mar
Skylight Band yaendelea kupiga jalamba, ni kila Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village, sio ya kukosa leo
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ukumbi wa maraha Thai Village Masaki jijini Dar… Ni Ijumaa hii tena watatoa burudani ya aina yake kutoka kwa waimbaji mahiri na wabunifu… Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Ashura Kitenge na Sony Masamba.
Binti mrembo mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Ashura Kitenge akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti...
11 years ago
Dewji Blog15 Aug
Njoo uanze week — end yako kwa kusakata Rhumba na Skylight Band leo Thai Village-Masaki
Divas wa Skylight Band kutoka kushoto Aneth Kushaba AK47, Mary Lucos na Digna Mbepera kwa pamoja wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.
Mary Lucos akifanya yake jukwaani.
Hashim Donode a.k.a Mzee wa Kiduku akitoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Digna Mbepera pamoja na Sam Mapenzi.
Sam Mapenzi (kulia) sambamba na Sony Masamba (katikati) pamoja na Joniko...
10 years ago
GPL
SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUPIGA JALAMBA, NI KILA IJUMAA NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE, SIO YA KUKOSA LEO
11 years ago
GPL
BATA LA IJUMAA YA MWISHO KWA MWAKA 2013 NA SKYLIGHT BAND NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE
10 years ago
GPL
SKYLIGHT BAND INAKUKARIBISHA THAI VILLAGE IJUMAA HII