Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kajala: Sintosahau Msaada wa Wema Sepetu

Kajala Masanja amesema kuwa pamoja na kuwa hawana waelewano mazuri na rafiki yake wa zamani Wema Sepetu, hawezi kusahau wema aliomfanyia wa kumtolea shilingi milioni 13 kwenye huku yake miaka kadhaa iliyopita.

Kajala amesema hafikirii kuzirudisha fedha hizo kwa Wema ambaye amekuwa akieleza kujuta kuutoa msaada huo.

“Sio kwamba natamani kumrudishia milioni 13, kwa sababu mimi najua yeye alinisaidia kipindi mimi naHitaji na hakuna mtu yoyote alitokea kunisaidia kipindi hicho,” Kajala...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema

Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao

ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.

Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...

 

11 years ago

Bongo Movies

Kajala afunguka kuwa wema sepetu ni mnafiki na si rafiki wa kweli.

STAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu, uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa kinafiki huku akidai Wema ni kigeugeu.

 

Akizungumza kwa kujiamini mbele ya waandishi wa GPL, juzi Jumatano pande wa Mikocheni jijini Dar es Salaam, Kajala alisema: “Wema ni mnafiki kabisa. Upatanisho wetu ni wa uongo. Mimi moyoni nimeondoa kinyongo lakini mwenzangu naona kama bado ana donge moyoni.”

Kajala alisema...

 

10 years ago

Bongo Movies

"Kajala ni rafiki MBAYA KULIKO WOTE DUNIANI, NAJUTA kumsaidia" - Wema Sepetu

HATARI BALAA!, Wema finally kaamua kufunguka kuhusu Kajala.  Yani kamwaga ubuyu wote! kaongeaaaaaaaaa mpaka mwisho, ni hatari sana!

Amedai Kajala is the worst friend she has ever had. Na kasema ana regret kumsaidia Kajala,ile kumlipia kumtoa jela anasema anaregret vibaya sana.

Tusimalize uhondo. Msikilize mwenyewe akiongea HAPA

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema sepetu azungumzia ishu ya kuajiriwa na kajala. Mpenzi wake kutoka na mtu mwingine na bifu zake.

Mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilitoka stori ambayo ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema kapatikana na kakubali kuongelea isue hizo zote ikiwemo hiyo ya Kajala. 


Kupitia You heard ya  XXL ya Clouds Fm Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu kama kweli Kajala anaweza kumuajiri yeye [Wema]. Wema Sepetu akamjibu>>’Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy’


Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu amejibu>>’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani