KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA GOMBE
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. Abdulkarim Shah akiwasili kwa boti katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe, Kigoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa Allan Kijazi akiwakaribisha Wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe Bibi. Noelia Myonga, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mahmoud Mgimwa,Makamu Mwenyekiti wa Kamati Mhe....
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKamati ya Bunge ya Ardhi maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya Tarangire
11 years ago
MichuziKamati ya ardhi,maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya Arusha
11 years ago
MichuziKamati ya ardhi,maliasili na mazingira yatembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro
11 years ago
Michuzi.jpg)
Kamati ya Bunge ya Kudumu Ardhi, Maliasili na Mazingira wakagua viwanda
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi
Kamati ya Ardhi,Maliasili na Mazingira watembelea hifadhi ya taifa ya Mkomazi.


Wajumbe wa kamati ya Bunge ya Ardhi, maliasili na mazingira wakitembelea eneo la mradi wa kufuga faru pamoja na Mbwa Mwitu.

11 years ago
Michuzi.jpg)
Waziri Mahenge akutana na Wabunge wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira
.jpg)
11 years ago
Dewji Blog23 Oct
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yatembelea eneo ambalo NHC inatekeleza mradi wa nyumba wa Kawe City
Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Felix Maagi akiongoza Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakati ilipotembelea eneo la mradi wa nyumba ambao unaotarajiwa kuanza katika uwanja wa kulenga shabaha wa jeshi la wananchi Kunduchi, baada ya makubaliano kati ya Jeshi la wananchi na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Kamati hiyo ikiongozwa na mwenyekiti wake na jimbo la Kahama Mbunge Mh. James Lembeli na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Profesa Anna...
11 years ago
Vijimambo
Ziara ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira katika Migodi



11 years ago
MichuziKamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira yaumwagia sifa Mgodi wa Buzwagi
Rai hiyo imetolewa na mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mheshimiwa James Lembeli, wakati kamati hiyo ilipotembelea mgodi huo tarehe 30 Oktoba 2014 .
Mhe.Lembeli alisema kuwa kamati yake ilifuatilia kwa kina utekelezaji wa maagizo na maelekezo ya Baraza la Taifa la Mazingira (NEMC) kwa migodi...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10