KAMPUNI YA PETROGAS YAENDESHA MAFUNZO YA UANDAAJI WA MAPENDEKEZO YA MIRADI KWA WATAALAMU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Petrogas inayojihusisha na kutoa mafunzo kwa ajili ya uandaaji wa mapendekezo ya miradi pamoja na usimamizi wake yenye makazi yake jijini Dar es Salaam Bw. Greyson Kiondo akisisitiza jambo kwenye mafunzo yanayohusu uandaaji wa mapendekezo ya miradi na usimamizi wake yaliyoshirikisha wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini yanayoendelea mjini Bagamoyo katika hoteli ya Stella Maris.
Msimamizi wa mradi unaohusika na kuwajengea uwezo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNishati na Madini watakiwa kuboresha tathmini ya mapendekezo ya miradi
Wataalamu wa Wizara ya Nishati na Madini wametakiwa kuboresha ufanyaji wa tathmini ya mapendekezo ya miradi (project proposal) ya Wizara kwa uwazi kwani ina mchango mkubwa katika kufanikisha utekelezaji wa miradi hiyo.
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Rasilimaliwatu kutoka Wizara ya Nishati na Madini Lusius Mwenda, alipokuwa akifunga awamu ya kwanza ya mafunzo ya jinsi ya kuandaa mapendekezo ya miradi, sera pamoja na utekelezaji wake...
10 years ago
Michuzi
WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUUNDA KITENGO MAALUMU KWAAJILI YA USHIRIKI WA WATANZANIA KATIKA SERA YA NISHATI NA MADINI


10 years ago
VijimamboKANUSHO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUHUSU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO

Utendaji wa Wizara chini ya Waziri wa...
11 years ago
Michuzi
TASAF YAANZA MAFUNZO KWA WATAALAMU WA KISEKTA KWA AJILI YA UIBUAJI MIRADI KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI
Akifungua warsha ya kuwajengea uwezo wataalamu hao mjini Bagamoyo mkoani Pwani, Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Bwana...
10 years ago
GPL
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Wizara ya Nishati na Madini yazindua rasmi mfumo wa kielektroniki wakulipia leseni za madini
Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imezindua mfumo wa malipo ya ada za leseni za madini kwa njia ya mtandao ujulikanao kama Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP).
Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia leseni Bw. John Nayopa amesema kuwa mfumo huu wa kielektroniki unawawezesha wateja waliosajiliwa kutuma maombi ya leseni, kuhakiki taarifa za leseni wanazomiliki pamoja na...
10 years ago
MichuziMH. KITWANGA AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI NA TAASISI ZINAZOSIMAMIA SEKTA YA MADINI NCHINI
10 years ago
Michuzi
WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAKUTANA NA WADAU WA MADINI YA SHABA
Wizara ya Nishati na Madini imekutana na wadau wa madini ya Shaba katika mkutano wa siku mbili ulioanza tarehe 24- 25 Novemba, 2014 na kuwashirikisha wafanyabiashara wa madini hayo, wachimbaji wadogo, viwanda vya kuyeyusha madini ya Shaba, Makamishana Wasaidizi wa Madini kutoka Kanda mbalimbali nchini pamoja na baadhi ya Maafisa Madini Wakaazi.
Akifungua mkutano huo, unaolenga kujadili masuala mbalimbali yanayohusu sekta ndogo ya madini ya Shaba na namna ya...
10 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI YAZINDUA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI