Kampuni ya TTCL yaanzisha kituo cha interneti 'IP Pop'
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kulia) akizungumza na wanahabari mara baada ya mkutano wa wadau wa mawasiliano Afrika ikiwemo kampuni ya TTCL. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza katika mdahalo wa wadau wa mawasiliano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza katika mdahalo wa wadau wa mawasiliano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam....
Vijimambo