KANUNI LIGI KUU Z'BAR KUBORESHWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-R6K-bsz-QWo/XqplU5bEuOI/AAAAAAAA_sw/-h_0smDcurIGHeq0O8wn-Po-3bTRTcnPACNcBGAsYHQ/s72-c/zff.jpg)
SHIRIKISHO la Soka Zanzibar (ZFF), limeanza mchakato wa kufanya maboresho ya Kanuni za Mashindano kwa ajili ya msimu ujao wa mwaka 2020/21, imeelezwa.
Akizungumza na gazeti hili jana, Mkurugenzi wa Mashindano wa ZFF, Ali Mohammed Ameir, alisema katika mchakato huo wameanza na zoezi la kupokea maoni kutoka kwa wadau wa soka wa visiwani hapa ili kupatikana kwa kanuni mpya za mashindano.
Ameir alisema kila mtu anayo fursa ya kutoa maoni juu ya kanuni ya kuendesha mashindano kwa msimu wa mwaka...
CCM Blog