Karibuni Ibada ya Kuabudu na Kusifu - Jumapili Januari 18, 2015 Ibada itaanza saa kumi kamili 4:00pm (EST)
![](http://4.bp.blogspot.com/-pQH5_2Dlgdo/VLVI9ZjqtwI/AAAAAAAAAmU/9Uqc05JqlRA/s72-c/IYK_Kusifu_Kuabudu.jpg)
Ibada ya Kiswahili inakukaribisha Rasmi katika Ibada ya Pili ya mwezi wa Januari 2015Kwa Baraka za Mungu tumebarikiwa kuanza mwaka 2015 kwa Ibada mbili kila mwezi, Ibada ya pili itaongozwa na Kuabudu na Kusifu - Januari 18, 2015 Saa Kumi kamili 4:00pm*** www.iykcolumbus.org ***
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-MRCpuE350s8/VXLQYWHbyYI/AAAAAAAAAsI/MPF0bP1Qh9g/s72-c/IYK_Ibada%2BPoster%2BJune%2B7.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-v7qQPhWmZWY/VctLS4sp1nI/AAAAAAAAAu4/0r4tVgXX9v8/s72-c/IYK_Ibada%2BPoster%2BAgosti%2B16.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-3u3l0AHE2bk/VQGS_Kr8Q-I/AAAAAAAAAns/cq5SMJTH7Zk/s72-c/IYK%2BPoster%2BMarch%2B15.jpg)
Karibuni Ibada ya Kiswahili — Kusifu na Kuabudu Jumapili hii Machi 15 Kuanzia Saa Kumi kamili
Ibada ya Kiswahili - Columbus OhioMch. Ipyana Mwakabonga
Tovuti: www.iykcolumbus.org
![](http://1.bp.blogspot.com/-3u3l0AHE2bk/VQGS_Kr8Q-I/AAAAAAAAAns/cq5SMJTH7Zk/s1600/IYK%2BPoster%2BMarch%2B15.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-cWv1MzqoFEM/VYLQKhyKSKI/AAAAAAAAAso/Au1k17oL05Q/s72-c/IYK%2BFlier%2BJune%2B12.jpg)
Ibada ya Kiswahili - Kuabudu na Kusifu Jumapili hii 12 Juni 2015 Saa Kumi Kamili jioni
![](http://4.bp.blogspot.com/-cWv1MzqoFEM/VYLQKhyKSKI/AAAAAAAAAso/Au1k17oL05Q/s640/IYK%2BFlier%2BJune%2B12.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-el9oHk7lkaU/Vh01EOKFsmI/AAAAAAAAAxw/lotIlT2hZmU/s72-c/ibadaOct18-1.png)
Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio - Maombezi Maalum ya Uchaguzi Mkuu wa Uraisi Tanzania: Muda Kuanzia Saa Kumi Kamili hadi Saa Kumi na Mbili Jioni (4:00pm - 6:00pm EST)
![](http://4.bp.blogspot.com/-el9oHk7lkaU/Vh01EOKFsmI/AAAAAAAAAxw/lotIlT2hZmU/s640/ibadaOct18-1.png)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-el9oHk7lkaU/Vh01EOKFsmI/AAAAAAAAAxw/lotIlT2hZmU/s72-c/ibadaOct18-1.png)
Karibuni Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio - Maombezi Maalum ya Uchaguzi Mkuu wa Uraisi Tanzania: Muda Kuanzia Saa Kumi Kamili hadi Saa Kumi na Mbili Jioni (4:00pm - 6:00pm EST)
![](http://4.bp.blogspot.com/-el9oHk7lkaU/Vh01EOKFsmI/AAAAAAAAAxw/lotIlT2hZmU/s640/ibadaOct18-1.png)
Karibu tembelea tovuti yetu :- www.iykcolumbus.orgMungu Ibariki Tanzania! Mungu Ibariki Afrika!
10 years ago
Vijimambo29 Jan
Karibuni wote Jumapili hii ya Februari 1, 2015 — Ibada Itaanza Saa kumi kamili 4:00EST
Bwana Asifiwe!
Karibuni wote Jumapili hii ya Februari 1, 2015 tumwabudu Mungu wetu na kusikiliza neno lake kwa lugha yetu ya Kiswahili. Kwa wale washabiki wa "Super Bowl" karibu sana, muda utazingatiwa. Mbarikiwe!www.iykcolumbus.org
Karibuni wote Jumapili hii ya Februari 1, 2015 tumwabudu Mungu wetu na kusikiliza neno lake kwa lugha yetu ya Kiswahili. Kwa wale washabiki wa "Super Bowl" karibu sana, muda utazingatiwa. Mbarikiwe!www.iykcolumbus.org
![IYK Poster Feb 1 2015](http://www.iykcolumbus.org/wp-content/uploads/2015/01/IYK-Poster-Feb-1-2015.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-4oy8w4Zmk70/VfqlC_4ABxI/AAAAAAAAAxA/77MKTNkjzIc/s72-c/image.jpg)
Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Kusifu na Kuabudu - Jumapili hii 20 Septemba 2015 Kuanzia saa kumi kamili jioni
IYK Columbus, OhioMchungaji Kiongozi Ipyana Mwakabonga
Karibu tovuti ya Ibada ya Kiswahili bonyeza hapa: www.iykcolumbus.org Pamoja na kwa umoja tukue na kuimarika katika Misingi Imara ya Kiimani na kudumisha Upendo ndani ya Utamaduni wetu!TUTAENDELEA NA MAOMBI MAALUMU KWA AJILI YA UMOJA, AMANI NA UPENDO KWA AJILI YA NCHI YA TANZANIA KWA WAKATI HUU WA UCHAGUZI MKUU.MUNGU IBARIKI TANZANIA!
![](http://4.bp.blogspot.com/-4oy8w4Zmk70/VfqlC_4ABxI/AAAAAAAAAxA/77MKTNkjzIc/s640/image.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NjOZP-l2uLc/VfwtP4HZpmI/AAAAAAAH54U/3U0OOAYrlz0/s72-c/image.jpg)
Ibada ya Kiswahili - Columbus, Ohio Kusifu na Kuabudu Jumapili hii 20 Septemba 2015 Kuanzia saa kumi kamili alasiri
![](http://4.bp.blogspot.com/-NjOZP-l2uLc/VfwtP4HZpmI/AAAAAAAH54U/3U0OOAYrlz0/s640/image.jpg)
TUTAENDELEA NA MAOMBI MAALUMU KWA AJILI YA UMOJA, AMANI NA UPENDO KWA AJILI YA NCHI YA TANZANIA KWA WAKATI HUU WA UCHAGUZI MKUU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA!
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania