Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AUNGURUMA BUKOBA MJINI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia Mkutano wa hadhara leo, kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Bukoba, akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na ilani ya Uchaguzi ya CCM.Ndugu Kinana yuko mkoani Kagera kwa ziara ya siku kumi akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na baadhi ya maofisa wa chama hicho  Mbunge wa Bukoba mjini Hamis Kagasheki (kushoto) akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo kwenye viwanja vya Mashujaa mjini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AUNGURUMA WILAYANI BUSANDA NA MJI MDOGO WA KATORO MKOANI GEITA LEO.



  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji Mdogo wa Katoro, wakati wa ziara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita, ambapo aliwaahidi wachimbaji wadogo wadogo kulitafutia ufumbuzi wa kuwapatia vitalu vya machimbo eneo la Nyarugusu linalomilikiwa na Stamico, wilayani Geita.
Ndugu Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia utekelezaji...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE BUKOBA VIJIJINI LEO MKOANI KAGERA.

Wananchi wa kijii cha Rukoma kata ya Rukoma wakiwa wamekusanyika wakimsilikiza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akiwahutubia katika mkutano wa hadhara jioni ya leo Bukoba vijijini.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia Wananchi wa kijiji cha Katoro jioni ya leo wilayani Bukoba vijijini,mkoani Kagera. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwahutubia Wananchi wa kijiji cha Katoro jioni ya leo wilayani Bukoba Vijijini,mkoani Kagera.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM KOMREDI KINANA AHANI MSIBA WA MAREHEMU MHE.SAMUEL LUANGISA MJINI BUKOBA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo ya Marehemu Jaji Mstaafu Samuel Luangisa nyumbani kwake kwa marehemu Kitendagulo,mjini Bukoba mkoani Kagera.Marehemu Luangisa ni miongoni  mwa Waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti tofauti alikuwa mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi (Kagera),Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi la...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO JIMBO LA MPENDAE,MKOA WA MJINI MAGHARIBI

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho,waliofika kwa wingi katika mkutano wa hadhara,wakati Ndugu Kinana alipokuwa akihitimisha ziara yake katika jimbo la Mpendae,wilaya ya Amani mkoa wa Mjini Magharibi.Ndugu Kinana kabla ya kuhitimisha ziara hiyo alishiriki kazi za kijamii na kukagua miradi mbalimbali ya chama.Sehemu ya umati wa Wakazi wa wilaya ya Mpendae na wanachama wa CCM wa jimbo la Mpendae,wilaya ya Amani,Mkoa wa Mjini...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE LEO WILAYA YA AMANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI

 Msafara wa Katibu Mkuu,Ndugu Kinana ukikatiza katika mtaa wa Daraja Bovu wakati wakielekea kuzindua na kushiriki ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Kiungani. katika jimbo la Chumbuni,Wilaya ya Amani mkoa wa Mjini Magharibi.  Mbunge wa Chumbuni ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mh.Pereira Ame Silima akizungumza jambo wakati Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana pichani kushoto aliposhiriki ujenzi wa Taifa wa Tawi la CCM Kiungani.    Mbunge wa jimbo la Mpendae Mh.Salim Hassan Abdullah...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AUNGURUMA ORKESUMENT SIMANJIRO, LEO KUPASUA MERERANI

Wananchi wa Kijiji cha Kitwai A wakiwa wamenyoosha mikono juu,kwenye mkutano wa hadhara,wakati Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akimuunga mkono jambo Mbunge wa jimbo la Simanjiro,Mh Christopher Ole Sendeka,katika suala zima la Utekelezaji wa Ilani ya CCM.
Pichani mbele ye bango kulia ni jengo la Mama na Mtoto la kituo cha Afya Orkesument,Wilayani Simanjiro,ambalo pia Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana alikagua na kujionea ujenzi wake. Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ahutubia mkutano Mkuu wa 6 wa ZANU PF Harare -Zimbabwe

KATIBU Mkuu wa CCm Ndg. Abdulrahaman Kinana , amekipongeza Chama Cha ZANU PF Cha Zimbabwe kwa kusimama imara licha ya Changamoto mbalimbali zinazoikabili Zimbambwe ikiwemo vikwazo vya kiuchumi ambavyo vimewekwa dhidi ya nchi hiyo.

Amewataka wana ZANU PF kuendelea kuunga mkono chama chao na kuongeza mapambano dhidi ya maadui wote wanaotaka kurudisha nyuma jitihada za kupigania maslahi ya nchi yao.

Akisoma salamu za mshikamano za Chama Cha Mapinduzi kwenye mkutano Mkuu wa ZANU PF...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM, NDUGU KINANA ZIARANI MKOANI TANGA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima shamba la mpunga kwenye mradi wa kilimo kwanza wa Skimu ya Mahenge.  Mifereji ya maji kwenye shamba la skimu ya Mahenge.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani