KATIKA KUELEKEA KUAPATA TAIFA SALAMA KIMTANDAO

Taarifa “INAYOSOMEKA HAPA” ilitolea ufafanuzi wa Nchi ya India inavyo pambana ili kuweza kufikia malengo katika kuboresha usalama mitandao hasa katika wizi unaofanywa kupitia ATM. Na baada ya kupata kutolea ufafanuzi muswada wa sharia mtandao, taarifa “INAYOSOMEKA HAPA” Ilifafanua yamuhimu kuzingatia ili sheria hiyo iweze kupelekea kufikiwa kwa malengo kusudiwa ya kupata Tanzania salama kimtandao na kupunguza wimbi la makosa mtandao nchini.
Baada ya hayo nilipata kuhudhuria mikutano kadhaa...
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Hatimaye vijana wanaosafiri kwa Baiskeli Kutoka Mbeya kuelekea Dar wavuka salama Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

Hii ilikuwa tarehe 15.06.2015 ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro aliwaaga rasmi vijana hao ili kuanza safari yao kutoka Mbeya kwenda Dar.

Safari yao ikiwa imeanza na hapa mmoja wa vijana hao wakiwa safarini na hapa akonesha umahili wa utaalam wa kuchezea Baiskeli maeneo ya Chimala.

Tarehe 17.06.2015 waliwasili Iringa na kulala hapo kisha asubuhi kuonana na uongozi wa Polisi Mkoani Iringa.

Vijana hawa watatu wakiwa Iringa sasa wanahimiza watu kujiandikisha katika...
10 years ago
Ykileo
BAKI SALAMA KIMTANDAO UTUMIAPO SIMU ZA MKONONI

Nianze kuangazia uhalifu unaoweza kusababishwa na simu za mkononi.
Swapping:Huu ni uhalifu mtandao unao kua kwa kasi hivi sasa maeneo mbali mbali unaotoa fursa kwa mhalifu mtandao kuwa na matumizi ya simu ya mtu bila ya...
10 years ago
Vijimambo
HATIMAYE VIJANA WANAOSAFIRI KWA BAISKERI KUTOKA MBEYA KUELEKEA DAR ES SALAAM WAVUKA SALAMA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI.




10 years ago
MichuziNHIF KUPIMA AFYA NA KUKUSANYA DAMU KWA USHIRIKIANO WA MPANGO WA TAIFA WA DAMU SALAMA KATIKA MIKOA SITA
10 years ago
GPLUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA, DAR
10 years ago
Dewji Blog13 Sep
Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 uwanja wa Taifa jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka na Chrismas, ambaye ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Alex Msama, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea uchaguzi mkuu ambalo litafanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na baadaye mikoa mingine 12.
10 years ago
Dewji Blog30 Aug
Uzinduzi wa Tamasha la kuombea Amani Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa Jijini Dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha...
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Mwananchi24 May
KUELEKEA MAJIMBONI: Hali siyo salama kwa CCM majimbo ya Mbinga, Peramiho