Kenyatta asema maombi kuhusu ICC yataendelea
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amepuuzilia mbali onyo la mahakama ya ICC la kuwataka Wakenya wakome kuijadili kesi inayoendelea kusikizwa dhidi ya Naibu Rais wa Kenya William Ruto na mwandishi wa habari Joshua Sang.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Dec
Balozi Kamau azungumzia uamuzi wa ICC kuhusu Kenyatta
![](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/k294ObMj-v_yMyCiLy6AcaaySYJcJDWPavlXWLjWRh_GHUfqZxEY4K-fbMqrTmCvpqNBHfaYcSKBGnpX9E-ZUYvGxd-BXOxLTDavLadkWZnPbCsrKsYRO0mDuSmHV1C0eVE8tGv-wqI4D_32ukkh6ANXYuK9nDpC3g=s0-d-e1-ft#http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2014/10/Macharia-kamau-2-300x257.jpg)
Kenya katika
Umoja wa Mataifa
Balozi Macharia
Kamau.
(Picha ya UM/Mark Garten)
Siku ya Ijumaa tarehe Tano Disemba mwaka 2014, mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC huko The Hague, Uholanzi ilitupilia mbali mashtaka dhidi ya Uhuru Kenyatta. Mwendesha Mashtaka Mkuu Fatou Bensouda alieleza kuwa uamuzi huo unazingatia kuwa hawana ushahidi wa kutosha wa kuweza kuthibisha pasipo shaka mashtaka matano yaliyokuwa yanamkabili Kenyatta. Kufuatia uamuzi huo, Joseph Msami wa Idhaa...
10 years ago
Michuzi07 Dec
Balozi Kamau azungumzia uamuzi wa ICC kuhusu Rais Uhuru Kenyatta
a
Mwakilishi wa kudumu wa Kenya katika Umoja wa Mataifa Balozi Macharia Kamau.(Picha ya UM/Mark Garten)Siku ya Ijumaa tarehe Tano Disemba mwaka 2014, mahakama ya kimataifa ya uhalifu, ICC huko The Hague, Uholanzi ilitupilia mbali mashtaka dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya. Mwendesha Mashtaka Mkuu Fatou Bensouda alieleza kuwa uamuzi huo unazingatia kuwa hawana ushahidi wa kutosha wa kuweza kuthibisha pasipo shaka mashtaka matano yaliyokuwa yanamkabili Kenyatta. Kufuatia uamuzi huo, Joseph...
![Macharia kamau](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/k294ObMj-v_yMyCiLy6AcaaySYJcJDWPavlXWLjWRh_GHUfqZxEY4K-fbMqrTmCvpqNBHfaYcSKBGnpX9E-ZUYvGxd-BXOxLTDavLadkWZnPbCsrKsYRO0mDuSmHV1C0eVE8tGv-wqI4D_32ukkh6ANXYuK9nDpC3g=s0-d-e1-ft#http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2014/10/Macharia-kamau-2-300x257.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/1gydulqw72U/default.jpg)
11 years ago
Michuzi02 Jul
RAIS KAGAME WA RWANDA AZUNGUMZIA UHUSIANO WA NCHI YAKE NA TANZANIA, ASEMA NI MATAIFA NDUGU NA YATAENDELEA KUWA HIVYO
Kwa hisani ya Idhaa ya Kiswahili DW
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/79488000/jpg/_79488863_024397457-1.jpg)
ICC ultimatum over Kenyatta trial
The International Criminal Court gives prosecutors an ultimatum to bring a case against Kenya's president or to drop charges of crimes against humanity.
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Wabunge kuandamana na Kenyatta ICC
Idadi kubwa ya wabunge nchini Kenya wanajiandaa kuandamana na Rais Uhuru Kenyatta ICC, anakotarajiwa kuhudhuria kikao maalum
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78044000/jpg/_78044265_78042938.jpg)
Kenyatta confirms attending ICC
Kenyan President Uhuru Kenyatta tells parliament he will attend the International Criminal Court this week and put his deputy in charge while he is away.
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78052000/jpg/_78052096_78051657.jpg)
ICC readies for Kenyatta appearance
The International Criminal Court is holding the first of two days of hearings in which Kenyan President Uhuru Kenyatta will appear before it.
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78077000/jpg/_78077384_78077186.jpg)
VIDEO: Kenya's Kenyatta to appear at ICC
Kenyan President Uhuru Kenyatta prepares to appear before the International Criminal Court at The Hague.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania