Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kichupa cha leo Qstar ft. Barakah Da Prince - Nimekosa (Dance compilation)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Music: Qstar Ft. Barakah da Prince — Nimekosa

Wimbo mpya wa Mwanadada Qstar unaitwa “Nimekosa” amemshirikisha Barakah da Prince Studio Burn Record Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

BARAKAH DA PRINCE ATUA GLOBAL TV ONLINE LEO

Barakah Da Prince (kulia) akifurahia jambo na Mtangazaji wa Global TV Online, Pamela Daffa 'Pam D' kabla ya mahojiano. Pam D akifanya mahojiano na Barakah Da Prince.…

 

9 years ago

Mtanzania

Barakah Da Prince kujenga maktaba

barakahNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’, ameamua kurudisha fadhila kwa kujenga maktaba ya kisasa, katika shule ya msingi aliyowahi kusoma inayoitwa Pamba iliyopo mkoani Mwanza.

Barakah alisema atatoa sehemu ya fedha zake zinazotokana na kazi yake ya muziki kwa ajili ya ujenzi wa maktaba hiyo na pia atafanya marekebisho madogo madogo kwenye majengo ya shule hiyo.

“Nimepata mafanikio kwenye muziki japo si mengi lakini nilichonacho nitakipeleka...

 

11 years ago

Michuzi

introducing BARAKAH Da PRINCE na ' JICHUNGE'

Hi,   Leo ndio tumeachia rasmi audio ya wimbo wa BARAKAH Da PRINCE (msanii mpya kutoka Tetemesha Entertainment), baada ya kutoa video yake wiki iliyopita. Wimbo unaitwa Jichunge na umefanywa katika studio ya Tetemesha chini ya maproducer wawili KidBoy na producer mpya anaitwa Nusder. Tunaomba support yako kadri utakavyoweza.   ARTIST NAME: BARAKAH Da PRINCE  SONG TITLE: JICHUNGE  WRITTEN BY: BARAKAH & KIDBOY  PRODUCED BY KIDBOY & NUSDER  MIXED BY: KIDBOY  MASTERED BY: MISJAH @24MASTERING...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Barakah Da Prince — Siachani Nawe

Video mpya ya wimbo wa Barakah Da Prince ‘Siachani Nawe’ iliyoongozwa na Khalfan. Ngoma imetayarishwa kwa ushirikiano wa watayarishaji watatu, Nasder, Lollipop na Kidboy.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani