Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kichupa cha leo Stella Mwangi - Chukua Hatua (Official Video)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Stella Mwangi (STL) wa Kenya ‘achukua hatua’ ya kuvunja ukimya

Rapper wa Kenya Stella “STL” Mwangi amechukua hatua ya kuachia wimbo mpya baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu. STL ambaye makazi yake ya muda mrefu ni Norway, ameachia wimbo mpya uitwao ‘Chukua Hatua’ uliotoka pamoja na video yake. STL amewahi kufanya vizuri na nyimbo kama Lookie Lookie, Haba Haba, Biashara, Stella Stella Stella na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani