Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete- Wajumbe waache kashfa

RAIS Jakaya Kikwete amewataka wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, kuacha kuwakashifu waasisi wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Amaan Karume. Amesema yeye hatishwi na vijembe, wanavyotoa baadhi ya wabunge wa Bunge hilo. Lakini, ameonya waache kutoa vijembe vikali, alivyoviita “vya chini ya mkanda”, mfano kukashifu waasisi wa Taifa. Rais amesisitiza kuwa ana matumaini makubwa na mchakato wa Katiba mpya, unaoendelea na kwamba anafurahia jinsi mijadala, inavyoendeshwa...

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua mradi mkubwa wa maji morogoro, awataka viongozi waache woga katika kusimamia sheria

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Changamoto za Milenia Tanzania (MCA-Tanzania) Bw. Karl Fickenscher wakati wa sherehe za uzinduzi wa mradi huo mkubwa ambao  umegharimiwa na Serikali ya Marekani kupitia MCA-Tanzania Agosti 22, 2014Sehemu ya jengo la mradi huo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Changamoto za Milenia Tanzania (MCA-Tanzania) Bw. Karl Fickenscher wakifunua pazia kuzindua mradi huoRais Jakaya Mrisho Kikwete na...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na wajumbe wa IFAD

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wajumbe wa Bodi ya utendasji ya mfuko wa Kimataifa wa maendeleo ya kilimo(IFAD) wakati walipomtembelea ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Utendaji(Executive Board) ya mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo(IFAD) ikulu jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro).

 

11 years ago

Mwananchi

Kikwete: Wajumbe Bunge la Katiba kutangazwa leo, kesho

>Rais Jakaya Kikwete amesema uteuzi wa majina 201 ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba umekamilika na kati ya leo na kesho, atayatangaza pamoja na tarehe ya kuanza kwa Bunge hilo.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awaapisha wajumbe wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha wajumbe saba wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam .Wajumbe wa tume hiyo walioapishwa leo ni pamoja na Mwenyekiti wake Bwana Edrissa Mavura,Paul Herbert Kinemela(Kamishna), Bwana Mathias Bazi Kabundunguru(Kamishna),Bwana Njaa Ramadhani(Kamishna)Bwana Jones Kyaruzi Majura(Kamishna), Bwana Jaffari Ally Omari(Kamishna) na Bibi Suzane Charles Ndomba.Pichani ni wajumbe wa tume hiyo wakiwa katika picha ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Ushauri wa #Kikwete kwa wajumbe wa #Bunge la #Katiba [VIDEO]

Rais Jakaya Kikwete amewataka wajumbe kufanya kazi ilowapeleka Dodoma, kwa kuhakiki na kuichambua kwa kina Rasimu ya Pili iliyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba mnamo Jumanne.

 

10 years ago

Mwananchi

Lawama ziende kwa wajumbe wa Katiba, si Rais Jakaya Kikwete

Wakati wa utawala wake, Mwalimu Julius Nyerere alisisitiza sana umuhimu wa katiba na pia kuitii. Ndiyo maana aliwahi kusema na naomba kumnukuu;

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE KITUO CHA DEMOKRASIA TANZANIA



Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Mhe John Cheyo akiongea na Makamu Mwenyekiti wa TCD Mhe Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. ABdulrahman Kinana na Mhe Isack Cheyo walipowasili Ikulu ndogo mjini Dodoma kukutana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo. Nyuma yao ni Mwenyekiti wa TLP Mhe Augustine Lyatonga Mrema na Mwenyekiti wa UPDP Mhe Fahmi Dovutwa leo. TCD inaundwa na vyama vyenye uwakilishi bungeni,...

 

11 years ago

Michuzi

UWT YAMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA

Na Anna Nkinda – Maelezo
Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT)  umempongeza Mhe. Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kwa uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba linalotarajia kuanza leo Mjini Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo Eva Mwingizi ilisema uteuzi wa Rais umezingatia umri, weledi, uzoefu na uwakilishi wa makundi mbalimbali ya kijamii.
Mwingizi alisema uteuzi huo umeangalia asilimia 50 ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani