Kikwete apinga kuwang'oa wabunge
RAIS Jakaya Kikwete amepinga pendekezo la rasimu ya Katiba ambalo linataka wananchi wawe na haki ya kuwaondoa wabunge wao kwa vile linaweza kuleta msuguano mkubwa bungeni. Akihutubia jana Bunge Maalum la Katiba, Kikwete alisema jambo hilo ni jema lakini wajumbe hao wanatakiwa walitafakari kwani wale watakaoshindwa wanaweza kuleta msuguano ili mradi aliyeshinda aondolewe na wananchi.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania