Kilimanjaro resident wins bajaj in Serengeti draw
Rombo resident, Isaac Edward in Kilimanjaro Region has won a tri-cycle (Bajaj) worth Sh 7 million in the ongoing ‘Tutoke na Serengeti Lucky draw conducted yesterday in the city.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen02 Dec
Dar resident wins Ndovu Golden Experience draw
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Serengeti yatoa zawadi ya Limo Bajaj kwa mshindi wa kwanza wa promosheni ya “Tutoke na Serengeti”
Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia) akiongea na waandishi wa habari hawapo Pichani, wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya Tutoke na Serengeti, ambapo Bi.Rukia Athuman Almas toka Kihonda-Morogoro ameibuka mshindi wa kwanza na kujinyakulia Limo Bajaji mpya yenye thamani ya tsh milioni tisa, kushoto ni mkaguzi toka bodi ya Michezo ya bahati nasibu.
Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia) akiongea kwa njia ya simu ya mkononi na Rukia Athuman Almas ambaye ni mshindi...
9 years ago
MichuziTANZANIA'S SINGITA SERENGETI WINS PRESTIGIOUS ‘HOTEL OF THE YEAR’ AWARD FROM THE CONDÉ NAST TRAVELLER MAGAZINE UK
The award is recognition for Singita Serengeti after readers and visitors voted...
10 years ago
Dewji Blog06 May
Wimbo mpya wa wasanii wazawa wa Kilimanjaro wakielezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro — “Kilimanjaro”
Wimbo unaelezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro, na uzuri wa Mkoa wa kilimanjaro.
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YAENDESHA DROO YA KWANZA YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI.
11 years ago
MichuziKAMPUNI YA BIA YA SERENGETI YACHEZESHA DROO YAKE YA KUMI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI
Meneja wa Bia ya Serengeti Rugambo Rodney (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati akitangaza washindi wa droo ya winda safari ya Brazil na Serengeti iliyofanyika kiwandani Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni ofisa kutoka PWC Bi Golder Kamuzora (Kulia) na afisa mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha Bw. Humudi Abdulhussein (Kushoto) Meneja wa Bia Serengeti Rugambo Rodney (kulia) akiongea na mmoja wa washindi wa droo ya 10 ya winda safari ya Brazil kwa njia ya simu huku...
10 years ago
Dewji Blog02 Apr
Mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa Mbugani” wa kampeni ya Tutoke na Serengeti akila bata ndani ya hifadhi ya Serengeti
Mshindi wa mwisho wa shindano la “Tutoke na Serengeti” Bw.Gabriel Robert Moriale (Kulia) akiwa na kaka yake Bw.Joshua Robert Moriale (Kushoto) walipowasili mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro jijini Arusha tayari kwa kuanza safari ya kwenda Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kukamilisha mtoko wao wa siku tatu ndani ya hifadhi hiyo. Robert aliibuka mshindi wa mwisho wa “Mtoko wa mbugani” baada ya kushiriki kwenye kampeni ya “Tutoke na Serengeti” iliyoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti kwa...
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) yahitimisha kampeni ya “Serengeti Masta” kwa kishindo jijini Dar
Mshiriki wa shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta kwa wilaya ya Temeke Emmanuel Nyaulingo (kulia) akipokea zawadi ya fulana kabla ya shindano hilo kuanza rasmi ambalo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika baa ya Kisuma iliyopo Temeke jijini Dar es salaam. (kushoto) ni balozi wa bia ya Serengeti Premium Lager Caroline Vincent na anayeshudia (katikati) ni mshereheshaji wa shindano hilo Richard Godwin. Kampeni hiyo inafikia tamati jijini Dar es salaam baada ya kumalizika mikoani pia...