KIM JONG-UN AMUUA WAZIRI WA ULINZI KWA KUSINZIA KWENYE MKUTANO WAKE
![](http://api.ning.com:80/files/*54juLYOTrNpbJ6fraq5uWUr8oHZ0vgy6mqe*mw9un5eoWu*3wtqykFeaigNjFRrC*bRoj2-eP8c9DtdP3o3TpGffSGTojH2/YONG.jpg)
 Hyon Yong-Chol aliyeuawa kwa kusinzia wakati wa hafla ya kijeshi. WAZIRI wa Ulinzi wa Korea ya Kaskazini, Hyon Yong-Chol, ameuawa kwa kupigwa na bunduki ya kutungulia ndege aina ya ZPU-4 kwa kusinzia kwenye hafla ya kijeshi. Waziri huyo aliuawa kutokana na amri ya kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong-Un. Bunduki ya kutungulia ndege aina ya ZPU-4  iliyotumika kumuua Hyon. Sababu nyingine iliyomfanya waziri huyo aliyekuwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili17 Jun
Kim Yo-jong: Mwanamke mwenye uwezo mkubwa anayeonekana kuwa mrithi wa Kim Jong-un Korea Kaskazini
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Kim Jong-un: Ni nani anayeweza kuiongoza Korea Kaskazini bila Kim?
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-t0q2zD8CHYM/Xq1v5_adRGI/AAAAAAALo2A/NddrkexQq3YkjKAWDRN_NVUX_9xPIp_iwCLcBGAsYHQ/s72-c/2020-05-02t000522z_1633412141_rc20gg9sf4q5_rtrmadp_3_north-korea-kim_0.webp)
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un ajitokeza hadharani kwa mara ya kwanza
![](https://1.bp.blogspot.com/-t0q2zD8CHYM/Xq1v5_adRGI/AAAAAAALo2A/NddrkexQq3YkjKAWDRN_NVUX_9xPIp_iwCLcBGAsYHQ/s640/2020-05-02t000522z_1633412141_rc20gg9sf4q5_rtrmadp_3_north-korea-kim_0.webp)
Shirika la habari la KCNA limesema wafanyakazi katika kiwanda cha mbolea walianza ," kushangiliia kwa nguvu" wakimshangilia Kim, ambao shirika hilo lilisema , analiongoza taifa hilo katika mapambano ya ujenzi wa uchumi wa kujitegemea kutokana na "upepo mkali unaokuja" kutoka kwa "nguvu...
10 years ago
BBCSwahili13 May
Waziri auawa kwa kusinzia mbele ya rais
10 years ago
BBCSwahili14 Oct
Kim Jong-un aonekana hadharani
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Tetesi za Kim Jong Un kuzuru Urusi
10 years ago
BBCSwahili20 Dec
SONY:Tutaonyesha filamu ya Kim Jong-un
10 years ago
BBCSwahili20 Dec
Obama:Filamu ya Kim Jong Un ionyeshwe
9 years ago
BBCSwahili30 Dec
Msaidizi mkuu wa Kim Jong-un afariki