KISOMO CHA MZEE ABASS KHALFAN MANG'ULO SPRINGFIELD, MASASACHUSETTS
Kushoto ni mkuu wa Wilaya Springfield Isaac Kibodya akiwa kwenye arubaini ya kisomo cha baba mkwe wake marehemu mzee Abass Khalfan Mang'ula kilichofanyika Springfield, Massachusetts katika msikiti wa Al Baqi uliopo mtaa wa Fort Pleasant. Kulia ni moja ya Watanzania waliojumuika na familia hiyo kwenye kisomo hicho. Kisomo cha arubaini ya marehemu mzee Abass Khalfan Mang'ula ikiendelea. Watanzania wakijumuika pamoja na familia ya Kibodya kwenye arubaini ya marehemu mzee Abass Khalfan...
Vijimambo