KOCHA SUPER D AMZAWADIA BONDIA 'KING CLASS MAWE' VIFAA VYA MASUMBWI
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akimkabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kumdunda bondia Cosmas Cheka na kunyakuwa ubingwa wa U.B.O Africa Class kwa sasa anamiliki mikanda miwili ya Africa ukiwemo wa WPBF na U.B.O Africa
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi vifaa vya mchezo wa masumbwi bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kumdunda...
Vijimambo