KONGAMANO LA UONGOZI KUANZA KESHO DAR
Mmoja wa wasemaji wa kongamano hilo kutoka Afrika Kusini, Gary Rivas (kushoto) Mkurugenzi Mkazi, Mbutho Chibwaye (katikati) na Meneja wa kongamano, Kiongozi Bwesa. Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKONGAMANO LA 9 LA CTO CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIJITALI (DBSF) KUANZA KESHO ARUSHA
Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbie Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo Februari 10, 2014 juu ya Kongamano la 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) ambao utafanyika kuanzia 11 – 14 Februari, 2014 Naura Springs Hotel, Arusha Tanzania. Katikati ni Katibu Mtendaji wa CTO, Prof. Tim Unwin, akifuatiwa na Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Afrika Mahsriki (EACO) Hodge...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-DgCwhMXlTuM/U6XQIbhoHhI/AAAAAAAFsLk/VZUnowotZ20/s72-c/unnamed+(18).jpg)
maandalizi ya kongamano la uwekezaji na biashara linaloanza kesho dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-DgCwhMXlTuM/U6XQIbhoHhI/AAAAAAAFsLk/VZUnowotZ20/s1600/unnamed+(18).jpg)
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Uandikishaji BVR Dar kuanza kesho
10 years ago
Mtanzania26 Aug
Bunge la EAC kuanza kesho Dar
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
NA SHABANI MATUTU
BUNGE la tatu la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), linatarajiwa kufanyika kesho na kumalizika Septemba 5, mwaka huu katika Ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam.
Akizungumzia sababu za Bunge hilo kufanyia mkutano wake Dar es Salaam, Spika wa Bunge hilo, Dk. Margaret Zziwa, alisema umetokana na taratibu walizojiwekea za kufanya vikao kwa zamu katika nchi wanachama ili wajiweke karibu na wananchi kwa ajili ya kutambulisha shughuli zao.
“Ripoti hizo ni Kamati ya...
10 years ago
Habarileo10 Apr
Kivuko Dar kuanza safari zake kesho
KIVUKO cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo kinatarajia kuanza safari zake kesho.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9sn7BSdig7w/VcsS-J02ypI/AAAAAAAD3FE/SjYa2dVpICI/s72-c/diaspora%2Btentative%2Bprogramme%2B-%2BFinal%2B1-1%2B%25281%2529.jpg)
KONGAMANO LA DIASPORA KUFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZA ALHAMISI AGOSTI 14, 2015 HOTELI YA SERENA
1. Kujiandaa kikamilifu kwa kupitia "brief concept Note" ya Kongamano hilo ambayo nimeambatanisha;
2. kupitia ratiba ya masuala yatakayojiri katika kongamano hilo ambayo pia nimeambatanisha; na
3. kuhakikisha kuwa mmejiandikisha kushiriki kongamano hilo kupitia...
10 years ago
Dewji Blog04 Jul
CHADEMA yaandaa kongamano la wazee, kufanyika kesho Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Jijini Dar
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hashim Juma Issa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu kongamano litakalo wakutanisha wazee wote bila kujali itikadi za vyama vyao litakalo jadili mustakabali wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu litakalofanyika kesho ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qjoUUPoJEUE/UxnBgMh0HaI/AAAAAAAFRvQ/1YBh-_nsaoY/s72-c/unnamed1.jpg)
ndege nyingine ya atc yatua dar es salaam, kuanza kazi kesho
![](http://2.bp.blogspot.com/-qjoUUPoJEUE/UxnBgMh0HaI/AAAAAAAFRvQ/1YBh-_nsaoY/s1600/unnamed1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7bX92PpgbVI/UxnBgGsMjkI/AAAAAAAFRvM/k6L5IkF5Eeo/s1600/unnamed.jpg)