Kourtney Kardashian anaswa na mtoto wa P. Diddy
NEW YORK MAREKANI
DADA wa Kim Kardashian, Kourtney, amewashangaza watu baada ya mrembo huyo kuonekana kona mbalimbali akiwa na mtoto wa P. Diddy.
Awali mrembo huyo alionekana mara kwa mara akiwa na Justin Bieber mwenye umri wa miaka 22 na kuwaacha watu wakiwa na maswali mbalimbali ambayo yalikosa majibu, lakini wiki iliyopita mwanadada huyo ameonekana akiwa na Quincy Brown mwenye umri wa miaka 24.
Inasemekana kuwa mwanadada huyu mwenye miaka 36, anapenda kuwa na uhusiano na vijana wenye...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet27 Mar
Kardashian Fans Think Kourtney and Kim Kardashian are the Most 'Naturally Beautiful' of Their Sisters
5 years ago
Cosmopolitan.Com05 Apr
Kim Kardashian and Kourtney Kardashian Are "Embarrassed" About Their 'KUWTK' Fight
9 years ago
Mtanzania25 Nov
Kourtney anaswa na mpenzi wa mdogo wake
LOS ANGELES, MAREKANI
DADA wa Kim Kardashian, Kourtney, amejikuta akiingia katika mgogoro na mdogo wake, Khloe Kardashian, kutokana na kukutwa mara kwa mara na mpenzi wa mdogo wake huyo.
Awali Khloe alikuwa na uhusiano na msanii wa hip hop nchini Marekani, French Montana, lakini baada ya kuachana msanii huyo ameonekana mara kwa mara akiwa karibu na shemeji yake huyo.
Hata hivyo kutokana na picha zinazosambaa kwenye mitandao mbalimbali, Khloe hajaongea lolote, lakini inasemekana kwamba ndugu...
5 years ago
E! NEWS27 Mar
Why Kourtney Kardashian Made Mason Disick Delete His Instagram
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet15 Feb
This Is How Kourtney Kardashian Really Feels About Kris Jenner's Boyfriend, Corey Gamble
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet03 Apr
'KUWTK': Kendall Jenner Thinks Kourtney Kardashian Has Been Struggling Since Her Breakup With Scott Disick, But He Doesn't Agree
9 years ago
Mtanzania19 Aug
P. Diddy amuomba msamaha kocha wa mtoto wake
LOS ANGELES, Marekani
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Sean Combs ‘Puff Daddy’, amemuomba msamaha kocha wa mtoto wake baada ya kugombana naye miezi miwili iliyopita.
Diddy aligombana na Sal Alosi baada ya kocha huyo kupishana maneno na mtoto wake wakiwa mazoezini, ambapo Diddy alichukua uamuzi wa kumpiga na kifaa kizito kocha huyo lakini baada ya kuomba radhi akaapa kutokwenda tena mazoezini kumwangalia mwanawe.
“Nilipishana maneno na kocha wa mwanangu, lakini kila kitu kipo sawa...
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Mtoto mpya amtesa Kim Kardashian
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjOo8rY0QAg0ZrDI6YKOQaQzAPnFkjYB4S8quPFiyuIA02a1ugThspuQiCgr-s9wNdFIGaQgmavFajezjNYmcrTb/YUYU.jpg?width=650)
ALIYETUHUMIWA MWIZI WA MTOTO ANASWA!