Ktibu mkuu Ofisi ya Maziri Mkuu atembelea Miradi mbalimbali ya maendeleo
Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakikagua moja ya Mradi unao tekelezwa na CDA) katika mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN).
Katibu Mkuu Ofisi ya waziri Mkuu Dkt : Florens M Turuka wa (katikati) akitoa maelekezo kwa Wakurugenzi wa OWM walipo tembelea eneo la mradi wa Makaburi ya Viongozi katika eneo la Mlimani .
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (CDA) Bw: Pascal Muragiri akitoa maelezo ya mradi wa Barabara unaotekelezwa na CDA kwa msaada wa Benki ya Dunia wanao wakati wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MsrhAIV0SVk/VCHW28h3tSI/AAAAAAAARJU/xStLmkAFEqI/s72-c/1.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ZIARANI HANDENI,AZUNGUMZA NA WANANCHI NA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI MBALIMBALI
![](http://4.bp.blogspot.com/-MsrhAIV0SVk/VCHW28h3tSI/AAAAAAAARJU/xStLmkAFEqI/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-fuskadLsPA8/VCHZZKnd1LI/AAAAAAAARKQ/on2mQhf5d-w/s1600/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NoSx4r95EBg/VCHZ0KBUy9I/AAAAAAAARKo/4Z-zueAgNQs/s1600/5.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuW3ScMCRPB6ry*qL6raffTrTr*d6c1RvpXm6pKNwN402BD-Sf9iEgn0rUPpzRGXRR1MT0SnJjHkrKS8bWRrs5XP/ccm1.jpg?width=650)
KATIBU MKUU WA CCM, KINANA ZIARANI HANDENI, AZUNGUMZA NA WANANCHI NA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI MBALIMBALI
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-L26xI0BEztw/UzGBfY3cdbI/AAAAAAAFWPU/XkG-Vq33Mmc/s72-c/IMG_0868.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AKAMILISHA ZIARA YAKE WILAYA YA ILALA,AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO.
![](https://4.bp.blogspot.com/-awi3LJPVwCc/UzFrK_9xWYI/AAAAAAAAk3E/BgpfOOMcGfc/s1600/1.+Kinana+akizungumza+kwneye+mradi+wa+tangi+la+maji+Tabata+Kisiwani.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-8fVNtXNfvSU/U26Bf0i5KUI/AAAAAAACgtE/d1IgGE4ZEAc/s72-c/15.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO NA KUFANYA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA WILAYANI NZEGA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-8fVNtXNfvSU/U26Bf0i5KUI/AAAAAAACgtE/d1IgGE4ZEAc/s1600/15.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iiurmBnLonA/U26BpoAfJ3I/AAAAAAACgtM/KIigkiXXjpk/s1600/16.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Zc2NC72IU_E/U26BGj_oNzI/AAAAAAACgss/Q71NMhxbH9Y/s1600/12.jpg)
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KUWATAKA KUBUNI MIRADI MBALIMBALI YA KUONGEZA MAPATO NDANI YA JESHI HILO.
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015
Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.
Vifaa mbalimbali...
10 years ago
Michuzi31 Jan
Mkurugenzi Mkuu wa NHC atembelea miradi Geita na Mwanza
![](https://4.bp.blogspot.com/-ijgj0MQ_iM8/VMvr3SNYRJI/AAAAAAAAAV8/X8xLAkA8qds/s1600/New%2BPicture%2B%2837%29.png)
![](https://4.bp.blogspot.com/-KUC3XCiW87I/VMvr8zPTVOI/AAAAAAAAAWM/5Q4O-cLqZVw/s1600/New%2BPicture%2B%2838%29.png)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s72-c/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s640/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2wbNUQWxs8w/VfSlycBQWUI/AAAAAAABlxM/kATyAIcFBF8/s640/11930774_1465390323770465_1602462128218917504_o.jpg)
10 years ago
Dewji Blog31 Jan
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu atembelea miradi Geita na Mwanza
Msimamizi wa mradi wa nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC Bombambili Geita Bw, Julius Ntoga (kulia) akitoa maelezo ya mradi huo kwa ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu alipotembelea mradi huo jana. Mradi huo wenye nyumba 48 ni wa nyumba za kuuza na unakamilika Februari mwaka huu.
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC ukitembelea nyumba za gharama nafuu zilizojengwa eneo la Bombambili, Geita kwa ajili ya kuuzia wananchi.
Sehemu ya nyumba za gharama nafuu zilizojengwa...