Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KTMA 2015: Red Carpet na ndani ya ukumbi ( Picha)

Tazama mastaa na wadau wa muziki walivyopendeza kwenye red carpet ya tuzo za KTMA 2015 zilizofanyika, Mlimani City jijini Dar es Salaam, June 13. Ommy Dimpoz akiwa na team yake Barnaba Elias na Dullah wa Planet Bongo Bata kwa kwenda mbele Christian Bella akiwa na Dulla Dullah Ambua akiwa na Nyoshi El Sadat Dullah wa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TASWIRA YA RED CARPET YA KTMA 2015

Staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu 'Beautiful Onyinye' akiwa katika mapozi tofauti. Profesa Jay akiwa na mke wake.…

 

9 years ago

Bongo5

MTV EMAs 2015: Picha za mastaa mbalimbali kwenye Red Carpet

Tuzo za MTV EMAs 2015 zilizofanyika Milan, Italy Jumapili ya Oct.25 zilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wakiwemo wanamuziki waliokuwa wakiwania vipengele tofauti. Tazama picha za mastaa hao kwenye red carpet akiwemo mshindi wetu wa ‘Worldwide Act Africa/India’, Diamond Platnumz na uamue yupi aliyependeza zaidi. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram […]

 

9 years ago

Bongo5

American Music Awards 2015: Picha za red carpet na performance za wasanii

AMA-46

Wasanii mbalimbali walijitokeza kwenye tuzo za American Music Awards 2015 zilizotolewa usiku wa Jumapili (Nov.22) jijini Los Angeles.

AMA-20 JENIFFER LOPEZ
Jeniffer Lopez

AMA-21

Miongoni mwa waliohudhuria ni pamoja na Nicki Minaj, Ciara, Wiz Khalifa, Bow Wow, Kylie na Kendall Jenner na wengine.

Hizi ni picha za red carpet pamoja na perfomance

AMA-1 CIARA
Ciara

AMA-2

AMA-3 WIZ KHALIFA
Wiz Khalifa

AMA-4 SELENA GOMEZ
Selena Gomez

AMA-5

AMA-6 KENDALL JENNER
Kendall Jenner

AMA-7

AMA-8 KYLIE JENNER
Kylie Jenner

AMA-9

AMA-10 KARRUECHE
Karrueche Tran

AMA-11

AMA-12 GWEN STEPHAN
Gwen Stephan

AMA-13 CHRISTINA MILIAN
Christina Millian

AMA14

AMA-14

AMA-15 BOW WOW
Bow Wow

AMA-16 JUSTIN BIEBER
Justin Bieber

AMA-17

AMA-18 TYRESE
Tyrese

AMA-19 TYGA
Tyga

AMA-22

AMA-23

AMA-24

AMA-25

AMA-26 ARIANA GRANDE
Ariana Grande

AMA-27 CELINE DION
Celine Dion

AMA-28

AMA-29

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Red Carpet — Redd’s Miss Tanzania 2014

Kabla ya kupatikana mshindi wa Redd’s Miss Tanzania 2014,Sitti Mtemvu wadau mbalimbali waliohudhuria tukio hilo lilikofanyika katika ukumbi wa Mlimani City walitapa nafasi ya kupiga picha katika zuria jekundu. Katika show hiyo ambayo kila mdau aliyepata nafafi ya kuhudhuria alionyesha uwezo wake katika mavazi hali iliyoifanya sherere hiyo kufana kutokana na ushondani wa kuvaa. Tazama […]

 

10 years ago

Dewji Blog

11 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ NDANI YA BET RED CARPET NA BEHIND THE SCENE

Diamond Platnumz akipita kwenye Red Carpet ya BET mbele ya mapaparazi zaidi ya 200. Mwanamuziki huyu alionekana kuwavutia watu wengi na suti yake iliyokuwa imemkaa kisawasawa ambayo Waingereza wanasema  "Well Tailored Suit" By Designer Sheria Ngowi . Mapaparazi zaidi ya 200 walichukua every step and moments za Red Carpet wakati Diamond akipita.… ...

 

10 years ago

Bongo5

Nani alipendeza zaidi kwenye red carpet ya MTV MAMA? (Picha)

Vilikuwa ni vita vya fashion kati ya mastaa wa Marekani na Afrika waliokutana kwenye red carpet ya tuzo za MTV MAMA, Jumamosi iliyopita. Lakini ni nani alipendeza zaidi? Mshindi wa tuzo ya Best Live Act, Diamond Platnumz Vanessa Mdee alikuwa akiwania tuzo ya Best Female Act iliyoenda kwa msanii wa Nigeria, Yemi Alade Msanii wa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani