KUELEKEA JEMBEKA FESTIVAL JJ BAND WAACHIA NGOMA MPYA 'NISHIKE'
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa, ile band ambayo kwa walio mbali basi walikuwa wakisikia simulizi zake toka kwa wenyeji kwamba inafumua burudani ya kijanja ile kisawasawa toka kiota chenye hadhi ya kitalii Jembe Beach Resort Mwanza, JJ Band ndiyo ninao wazungumzia, basi wamekuja na single yao ya kwanza mpya inayoitwa 'NISHIKE'
Kazi imefanyika ndani ya studio za One Love FX zilizoko Ilemela jijini Mwanza, chini ya mkono wa mtayarishaji mkali Tiddy Hotter, yule aliye tengeneza ngoma kama...
Michuzi