Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuelekea uchaguzi mkuu, Sitta atoa changamoto wanahabari.

Na Lilian Mtono, 

Dar es Salaam.

 

Waziri wa uchukuzi Samwel Sitta amewataka waandishi wa habari kuwa na ujasiri wa kuhoji mambo mazito na magumu wanayoandika hususan ya kisiasa, yanayomgusa mtu binafsi, ili kulinda dhamana yao kwa taifa na watu wake.

 

Amesema, haitakuwa sawa kuendelea kuandika habari zinazoelemea upande mmoja dhidi ya mtu mwingine, kwa kuwa nyingi zimekuwa na athari kubwa kuanzia ngazi ya familia hadi taifa.

 

Amesema inasikitisha kuona waandishi wa habari wakiandika...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

PRESS CLUB ZNZ YAFANYA UCHAGUZI NA KUSISITIZWA MAADILI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Katibu Mkuu msaafu wa Jumuiya ya Wandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) Suzan Peter Kundambi katikati akitoa taarifa ya mwaka kwa Wanachama wa Jumuiya hiyo katika mkutano wa Mwaka wa ZPC ulioambatana na uchaguzi. Mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ekrotanal Mjini Unguja. Wajumbe walioshiriki uchaguzi wa Jumuiya ya Wandishi wa Habari Zanzibar (ZPC) wakipiga kura kuchagua uongozi mpya katika mkutano wa Mwaka wa Jumuiya hiyo ambao uliambatana na uchaguzi huo ambao uliofanyika ukumbi wa Ekrotanal...

 

10 years ago

Michuzi

MTENDAJI MKUU BRN ATOA CHANGAMOTO

Ushirikishaji wa wananchi nguzo ya kutekeleza BRN
TAASISI za Serikali zinazohusika katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) zimetakiwa kuhakikisha kuwa wananchi wanaelezwa mafanikio na changamoto za utekelezaji wa Mpango huo.
Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam leo Jumatano na Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia utekelezaji wa BRN, Bw. Omari Issa alipokuwa akifungua Mkutano wa Kwanza wa Watendaji wa Serikali Kutathmini...

 

10 years ago

GPL

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

Waziri mkuu Mizengo Pinda. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kikitegemea kupata upinzani mkubwa kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanza kwa siasa za mfumo wa vyama vingi nchini. Wapinzani wakienda sawa kama wanavyodai na kumsimamisha mgombea mmoja kwa kila nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani, kazi itakuwa kubwa kwao.
Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana ulitoa...

 

10 years ago

Vijimambo

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

Waziri mkuu Mizengo Pinda.
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaingia katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kikitegemea kupata upinzani mkubwa kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanza kwa siasa za mfumo wa vyama vingi nchini.Wapinzani wakienda sawa kama wanavyodai na kumsimamisha mgombea mmoja kwa kila nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani, kazi itakuwa kubwa kwao.Uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana ulitoa picha inayoonyesha kuimarika kwa upinzani nchini, kwani matokeo ya jumla...

 

10 years ago

Mwananchi

Nadharia tete kuelekea Uchaguzi Mkuu

Tunahitaji viongozi sahihi wa kututoa hapa tulipo. Tumekwama, maendeleo yamegota. Hii ndiyo ajenda kubwa kwenye vichwa vya watu wengi kwenye nadharia zao kuelekea uchaguzi mkuu miezi michache ijayo.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

TAMKO LA ZADIA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.

TAMKO LA ZADIA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU. Panapo majaaliwa yake Mola, kesho tarehe 25 Oktoba, 2015; Watanzania wataelekea kwenye visanduku vya kupigia kura katika uchaguzi mkuu ambao wachunguzi wengi wa kisiasa wameuita kuwa ni uchaguzi wa kihistoria. […]

The post TAMKO LA ZADIA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi watakiwa kujipanga kuelekea uchaguzi mkuu

WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imelitaka Jeshi la Polisi nchini kujipanga vyema kwa ajili ya kukabiliana na matukio ya uvunjifu wa amani hasa katika kipindi ambacho taifa linaelekea katika matukio muhimu likiwemo la uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani