'Kukosekana wataalamu wa elimu ya biashara ni kikwazo'
KUKOSEKANA kwa wataalamu wa elimu ya kibiashara kumetajwa kuwa changamoto kubwa inayokwamisha maendeleo ya biashara nchini. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Vyuo vya Elimu ya Biashara (CBE), Profesa Emanuel Mjema alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi za CBE tawi jipya la Mbeya hivi karibuni.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania