KUMEKUCHA 'CHICKEN WINGS BONANZA & FAMILY DAY OUT
Kumekucha ‘Chicken Wings Bonanza & Family Day Out’ leo Februari 28
Na Andrew ChaleBonanza kubwa la Nyama ya kuku ‘’Chicken Wings’ linaendelea muda huu huku watu mbalimbali wameanza kumiminika marafiki na familia mbalimbali leo Februari 28, ndani ya Azura Beach Club, Kawe, Jijini Dar es Salaam.Akieleza hilo muda huu haapa katika viwanja ghivi linapoendelea Bonanza hili la Chicken Wing, Bonanza & Family oUT', Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jaunt Africa Ltd, Acquiline Mlulla waandaji wa...
Vijimambo