Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KURUKARUKA NI TABIA AU KUNAUMBWA NA KERO?

MAISHA ya ndoa na uhusiano wa kimapenzi ni sanaa yenye umri mkubwa tangu enzi za Adamu na Hawa. Matatizo yamekuwa ni mengi tangu mwanamke wa kwanza aliyeumbwa kwa ubavu wa mwanaume alipokubali kudanganywa na nyoka katika bustani nzuri ya Eden miaka milioni nyingi zilizopita. Leo hii, sanaa ya mapenzi imeanza kuingia katika ukisasa, wa kidigitali, kiasi kwamba hata staili tu ya maisha, inaweza kuwa chanzo cha kustawi au kubomoka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TABIA YA LULU KERO BONGO MUVI

Stori: Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
WAMEANZA! Tabia ya staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kutojumuika na wenzake kwenye matukio ya kijamii hasa matatizo inadaiwa kuwakera Klabu ya Bongo Movie Unity hivyo kuandaa kikao maalum cha kumkanya. Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Habari kutoka kwa chanzo chetu makini, zilidai kwamba malalamiko...

 

10 years ago

GPL

OYA MASELA TULIENI…KURUKARUKA ZIACHIE POPKONI!

Yere…yere masela inakuwa nini pale kati? Kwani kuna problemu? Kitaa hii ni mpeto wanangu hakuna kusebenza kozi hapa vumbi tu. Ukifuata nyayo tunatembea na fagio tunazifuta. Kitaa hiyo kwa fasi ya Roki Siti barida? Kama vipi mzuka tu makiksi wangu. Wanangu deizi zinakrosi kama hazina akili flenga na watu wazima bado mambo siyo freshi kozi hatujamaliza kurekebisha ishu f’lani za mkwanja ili kitu cha eksimasi kiende...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani