Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa mpango huu, Yanga itakuwa haishikiki kwa Utajiri

KATIBU Mkuu wa Klabu ya Yanga, Dr. Jonas Tiboroa akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kulia ni Mkuu wa kitengo cha habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro.
Na. Richard Bakana, Dar Es Salaam
Kwa miaka mingi sasa klabu Kongwe za Simba na Yanga zimekuwa zikiibiwa bila kujua zinapoteza mamilioni ya pesa kila mwaka kupitia uuzwaji wa jezi zenye nembo ya klabu yao (Logo), Lakini kama kweli mpango huu hautaishia midomo tu basi Yanga itakuja kuwa bonge la Timu Tajiri Tanzania kupitia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TASAF YAANZA MAFUNZO KWA WATAALAMU WA KISEKTA KWA AJILI YA UIBUAJI MIRADI KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI

Mfuko wa Maendeleo ya jamii TASAF umeanza kuwajengea uwezo wataalamu ngazi ya Kata kutoka mamlaka nane za utekelezaji wa mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na kuwawezesha walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya masini kuibua miradi inayoweza kutekelezeka ndani ya kipindi kifupi katika mpango wa miradi ya ajira kwa walengwa (Public Works Project kwa lengo la kuwaongezea kipato).
Akifungua warsha ya kuwajengea uwezo wataalamu hao mjini Bagamoyo mkoani Pwani, Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Bwana...

 

9 years ago

Raia Mwema

CCM itakuwa historia ikiendeleza upuuzi huu

WIKI iliyopita nilisema kwamba haiwezekani kuwa na chama cha siasa ambacho kinataka ridhaa ya kuw

Mwandishi Wetu

 

11 years ago

GPL

UTAJIRI MWAKA HUU UNAWEZEKANA?

MWANDISHI, ERIC SHIGONGO KUNA mkanganyiko mkubwa sana kwa watu unapotamka neno utajiri. Wengi wana tafsiri zisizofanana unapotaka maana halisi ya neno hili ambalo kila mmoja analihitaji sana. Kitu kikubwa kinachochukuliwa na kila mmoja katika kutafsiri neno hili ni kuishi bila kuwa na matatizo ya kifedha, kwa sababu kutokuwa nazo ni sawa na kuishi katika ndoto mbaya sana. Unajihisi vibaya na hata utendaji wako wa kazi pale ulipo...

 

9 years ago

Michuzi

PSPF,NHIF WAZINDUA MPANGO WA MATIBABU KWA WANACHAMA WA MFUKO HUO WALIO KWENYE MPANGO WA PSS

 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, SSRA, Omar Kahlfan, (katikati), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PSPF, Neema Muro, (wapili kushoto), Meneja wa Mpango wa Uchagiaji wa Hiari wa PSPF,Mwanjaa Sembe, (wakwanza kushoto) na maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, NHIF, (kulia waliosimama), wakishuhudia Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayinhu, (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando, wakitia saini makubaliano ambayo yatawezesha...

 

9 years ago

Dewji Blog

PSPF, NHIF wazindua mpango wa matibabu kwa wanachama wa mfuko huo walio kwenye mpango wa PSS

 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, SSRA, Omar Kahlfan, (katikati), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa PSPF, Neema Muro, (wapili kushoto), Meenja wa Mpango wa Uchagiaji wa Hiari wa PSPF,Mwanjaa Sembe, (wakwanza kushoto) na maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, NHIF, (kulia walosimama), wakishuhudia Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Bw. Adam Mayinhu, (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando, wakitia saini makubaliano ambayo yatawezesha...

 

11 years ago

Michuzi

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUTANA KUANDAA MPANGO KAZI NA MPANGO WA MANUNUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2014/2015

Baadhi ya Viongozi wa Idara za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wanaohudhuria kikao cha kuandaa Mpango Kazi na Mpango wa Manunuzi wa Wizara hiyo katika Chuo cha Kanda cha Uhamiaji mjini Moshi, (toka kulia) Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga, Kamishna wa Fedha na Lojistiki wa Jeshi la Polisi, Clodwig Mtweve, Kamishna wa Urekebishaji wa Jeshi la Magereza, Deonice Chamulesile na Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Juma Mohamed.    Maafisa wa Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani