'LEADIMPACT UNIVERSITY' YAWATUNUKU SHAHADA YA HESHIMA WATANZANIA, YUMO DC MJEMA
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dk. Sophia Mjema (katikati) akionesha cheti cha shahada ya heshima ya udaktari alichotunukiwa na Chuo Kikuu cha 'LeadImpact' (LeadImpact University) cha nchini Marekani kwa kutambua mchango wake katika kuihudumia jamii kwenye majukumu yake. Wa kwanza kushoto ni Mratibu wa Dawati la Jinsia na watoto Mkoa wa Kipolisi Ilala, Afande Dk. Christina Onyango ambaye pia katunukiwa udaktari wa heshima na chuo hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Dk. Sophia Mjema akizungumza na...
Michuzi