Lewis Hamilton ashinda taji la Japan GP
Dereva wa magari yaendayo kasi Lewis Hamilton ameshinda michuano ya Suzuki na kutwaa taji la 41 katika mchezo huo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo528 Sep
Lewis Hamilton achukua taji la Japan GP
Dereva wa magari yaendayo kasi Lewis Hamilton kutoka timu ya Mercedes ameshinda michuano ya Suzuki na kutwaa taji la 41 katika mchezo huo. Lewis Hamilton akiwa ameshikilia taji la Japan GP na Nico Rosberg (kushoto) akishika nafasi ya pili huku Sebastian Vettel (kulia) akishika nafasi ya tatu Hamilton alishinda taji hilo na kumfikia mkongwe wa […]
9 years ago
BBCSwahili27 Sep
Lewis Hamilton ashinda langalanga Japan
Lewis Hamilton amejitetea baada ya kumpiku Nico Rosberg kwenye kona hatari katika mbio za magari ya langalanga ya Japan.
9 years ago
Bongo526 Oct
Hamilton ashinda taji la tatu la mashindano ya United States Grand Prix
Dereva wa magari, Lewis Hamilton ameendelea kufanya vizuri na kung’ara zaidi msimu huu baada ya kutwaa taji katika michuano ya United States Grand Prix. Hamilton ameshinda michuano hiyo ya dunia na kutwaa taji lake la tatu kwa msimu huu wa michuano ya Formula 1. Hamilton ambaye ni dereva wa timu ya Mercedes, anakua Muingereza wa […]
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Lewis Hamilton ajifagilia
Bingwa wa dunia wa mbio za magari za langalanga wa timu ya Mercedes Lewis Hamilton amesema kiakili anamzidi Nico Rosberg.
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Lewis Hamilton aibuka kidedea
Lewis Hamilton ameshinda mbio za Abu Dhabi Grand Prix,na kumfanya dreva huyo wa Formula One kuwa mshindi kwa mara ya pili.
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Lewis Hamilton kinara tuzo za BBC
Lewis Hamiliton dereva wa timu ya Mercedes, ameibuka kidedea kwa kutwaa tuzo ya BBC ya mwanamichezo bora.
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Lewis Hamilton kuongeza mkataba mpya?
Timu ya magari yaendayo kasi ya Mercedes ina matumaini ya kumuongezea mkataba dereva wake Lewis Hamilton.
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Lewis Hamilton atang'ara Abu Dhabi
Nguli wa mbio za magari Nigel Mansell amesema Lewis Hamilton anayo nafasi ya kufanya vyema Abu Dhabi Novemba 23.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania