LHRC YAZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA 2019

Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga (katikati) akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania 2019. Uzinduzi huo uliofanyika leo Aprili 29, 2020 katika ofisi za LHRC jijini Dar es Salaam na wadau kufuatilia kwa njia ya mtandao.
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga (katikati), Afisa Utafiti, Fundikila Wazambi (kushoto) na Mkurugenzi wa Uwajibikaji na Uwezeshaji wa Kituo hicho, Felista Mauya (kulia) wakionesha nakala za Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
LHRC KUZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA 2019 KWA NJIA YA MTANDAO

RIPOTI imepangwa kuzinduliwa Jumatano, Aprili 29, 2020 kupitia mtandao wa YouTube (Haki TV), mtandao wa Zoom na mitandao ya Twitter, Facebook na Instagram.
Kwa mujibu wa LHRC, hii ni mara ya kwanza kwa shirika hilo la utetezi wa haki za binadamu hapa nchini kuzindua ripoti kwa njia ya kidigitali tangu walipoanza kuchapisha ripoti hiyo mwaka...
5 years ago
Michuzi
THBUB, LHRC wajipanga kutoa elimu ya haki za binadamu mashuleni

Mwenyekiti wa THBUB, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu akiongea katika kikao cha majadiliano kilichowakutanisha ujumbe wa THBUB na Viongozi wa LHRC kwenye ofisi za kituo hicho jijini Dodoma leo (Februari 27, 2020). Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga.

10 years ago
Mwananchi26 Sep
Vyombo vya dola kinara uvunjifu wa haki za binadamu-LHRC
10 years ago
Mzalendo Zanzibar27 Sep
Vyombo vya dola kinara uvunjifu wa haki za binadamu asilimia 66-LHRC
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk Helen Kijo-Bisimba Sunday, September 27, 2015 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema asilimia 60 ya uvunjifu wa haki za binadamu nchini unafanywa na vyombo vya dola huku asilimia […]
The post Vyombo vya dola kinara uvunjifu wa haki za binadamu asilimia 66-LHRC appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
GPLKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU (LHRC) CHAENDELEA KUIPINGA ADHABU YA KIFO
10 years ago
Michuzi
Tume ya haki za binadamu yatoa ripoti ya Mbagala

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu Bw. Bahame Nyanduga akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya uchunguzi wa tuhuma dhidi ya Jesshi la Polisi za kuwapiga na kuwazalilisha Viongozi na Wafuasi wa CUF huko Mtoni Mtongani Temeke, Dar es saSalaam. Picha na Eliphace Marwa-MAELEZO
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).
Na Rabi Hume,Modewjiblog
Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...
10 years ago
Michuzi
MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA


