LINAH KUACHIA NGOMA YAKE YA KIZAIZAI 'EXCLUSIVE' KWENYE RADIO STATION ZA AFRIKA KUSINI.
Msanii wa Bongo Fleva,Linah Sangah’Lina’ kwa wakati huu yuko nchini Afrika Kusini karibu wiki ya tatu sasa akifanya shughuli za kimuziki pande hizo.
Msanii huyo akiwa nchini humo atarekodi ngoma na producer mkubwa wa nchini humo Oskido, atashuti video. Aidha Lina ataiachia ngoma yake mpya kesho katika vituo vya radio karibu vyote vikubwa vya nchini humo pamoja na kufanya interviews.
CloudsFM
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania