LOVE IS GONNA BE IN THE AIR @ Isumba Lounge on Valentine's day
![](http://1.bp.blogspot.com/-PlAN07A5-d4/UvqWtjLoAPI/AAAAAAAFMb8/2vzJpQrhgkc/s72-c/IMG_20140206_132528.jpg)
JD's Entertainment inakwambia kama una mume au mke na unampenda sana, kama una girlfriend au boyfriend na mnapendana kweli na kama una rafiki na uko tayari kwa chochote juu yake na hata kama uko single lakini moyo wako umejaa mapenzi lakini hujui wapi pakuyapeleka. Basi karibu sana isumba lounge (jollies club). Wapendanao watazungumza, hadithi na safari za maisha yetu ya kimapenzi zitasikika;ni valentine hii ya tarehe 14/02/2014 pale pale isumba lounge zamani jollies. Kiingilio ni 10000,...
Michuzi