Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA AHUTUBIA BARAZA LA WANAWAKE WA CHADEMA LEO JIJINI DAR

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwasalimia baadhi ya Wanawake wanaounda Baraza la Wanawake wa Chadema, waliokuwa wamefurika kwa wingi nje ya Jengo la LAPF, Kijitonyama jijini Dar es salaam, wakati walipowasili kwa kuhutubia Baraza hilo.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Lowassa alipohutubia Baraza la Wanawake wa Chadema Jijini Dar

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono baadhi ya Wanawake wanachama wa CHADEMA, waliokuwa wamefurika kwa wingi nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la LAPF, Millennium Tower,  Kijitonyama jijini Dar es salaam Agosti 27, 2015.(PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI).

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA AHUDHURIA MKUTANO WA BARAZA KUU LA CUF JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akikumbatiana na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, kabla ya kuelekea kwenye Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar es salaam leo August 9, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF. 
Mgombea...

 

9 years ago

Michuzi

JK AHUTUBIA BARAZA LA VIJANA WA CCM (UVCCM) JIJINI DAR.

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye Baraza la Vijana wa CCM.
 Wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM wakimsikiliza kwa makini mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli. 
 Wajumbe wa Baraza la Vijana wakiwa kwenye hamasa ya hali ya juu.
 Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM. Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Katibu wa...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AHUDHULIA MKUTANO WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA WANANCHI CUF, JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akikumbatiana na Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, kabla ya kuelekea kwenye Makao Makuu Chama cha Wananchi CUF, Buguruni jijini Dar es salaam leo August 9, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama cha Wananchi CUF. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha...

 

9 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KATIKA KONGAMANO LA BARAZA LA WANAWAKE WA CHADEMA LEO

 Mgombea Urais wa Ukawa kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akizungumza wakati wa kongamano la Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) lililofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) 
 Mke wa mgombera urais wa Ukawa Regina Lowassa akifungua kongamano la Bavicha. 

 Mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha akitumbuiza katika kongamano hilo.
 Msanii wa Bongo Movie Jackline Wolper akiwahamasisha wanawake waliohudhuria kongamano hilo.

 Msanii wa Bongo...

 

10 years ago

Vijimambo

KIKWETE AHUTUBIA WAZEE LEO JIJINI DAR ES SALAAM


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh.Saidi Mecki Sadiki akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuzungumza na Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo alimpa taarifa Mheshimiwa Rais juu ya mafanikio ya ujenzi wa maabara katika Shule za Sekondari mjini Dar es Salaam pamoja na matokeo ya uchaguzi wa Serikali za mitaa.(Picha na Adam Mzee)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia Wazee wa...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AHUTUBIA VIONGOZI NA WAWAKILISHI WA UMOJA WA SEKTA BINAFSI NCHINI - TPSF IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Viongozi na Wawakilishi wa Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation - TPSF) katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 3, 2015 PICHA NA IKULU

 

11 years ago

Michuzi

Baraza Kuu la Uongozi CUF Taifa lakutana jijini dar es salaam leo

 Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba, akifungua kikao cha siku tatu cha Baraza Kuu la Uongozi CUF Taifa, katika ofisi kuu za Chama hicho, Buguruni Dar es Salaam.   Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba, akiongozana na Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, kuelekea ukumbi wa mikutano katika ofisi kuu za Chama hicho, Buguruni Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi CUF Taifa, wakifuatilia kikao hicho kinachofanyika Ofisi Kuu za CUF...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani