Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa angeyafanya haya China?

PHILEMON Ndesamburo, Mbunge wa Moshi Mjini, ni miongoni mwa wabunge walioijadili Taarifa ya Kamat

Navaya ole Ndaskoi

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Mashabiki wa Lowassa, mmeyafikiria haya?

NAOMBA nikiri kwamba pamoja na kuwa mfuatiliaji sana wa mambo ya siasa, nchini na duniani kwa uju

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Vijimambo

MASHABIKI WA LOWASSA, MUMEYAFIKIRIA HAYA?

Picha kwa hisani ya MichuziNa Mwandishi wetu
NAOMBA nikiri kwamba pamoja na kuwa mfuatiliaji sana wa mambo ya siasa, nchini na duniani kwa ujumla, si kawaida yangu kuandika hasa kuhusu siasa kwenye magazeti. Nimeaamua kuvunja kawaida yangu baada ya kuona mushkeli mkubwa kuhusu namna ambavyo siasa zetu zinakwenda katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba.
Liko vuguvugu kubwa limezaliwa sasa nchini, wananchi wengi wanasikika wakitaka mabadiliko, hii ni haki kabisa kwa sababu chini...

 

5 years ago

BBCSwahili

China na India: Kwanini majeshi ya mataifa haya mawili yamekuwa yakikabiliana?

India na China, mataifa mawili yenye idadi kubwa ya watu duniani , zikiwa na majeshi makubwa na silaha za kinyuklia zimekuwa zikikosona kwa wiki kadhaa katika jimbo la Himalaya.

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Afunguka Mengine Haya kuhusu Magufuli na Lowassa..

Wakati wagombea mbalimbali wa vyama vya Siasa nchini Tanzania wakiwa na wafuasi wao wakiendelea kuingia kwenye headlines mbalimbali Aug 10 nakukutanisha na hii post ya Mrembo Wema Sepetu.

 

Kama unamfatilia Wema Sepetu kwenye mitandao yake ya kijamii leo kupitia mtandao wa Instagram kapost picha inayomuonyesha Waziri wa ujenzi John Magufuli akisalimiana na Steve Nyerere pamoja na Rais Jakaya Kikwete.

Kwenye post yake ameipa maneno haya  “Wamoja havai Mbili…. Alafu nina msg to Team Wema …...

 

5 years ago

BBCSwahili

China na India: Kwanini hofu imerudi kati ya majeshi ya mataifa haya yenye idadi kubwa ya watu duniani

Majeshi ya China na India yamejikuta katika makabiliano makali kwenye eneo la Himalayas, ambao una uwezo wa kuongezeka zaidi wakati ambapo pande zote mbii zinajitahidi kuendeleza malego yake ya kimkakati.

 

9 years ago

MillardAyo

Edward Lowassa kaweka hizi picha 3 akichunga Ngo’mbe alafu akaandika haya maneno 46

Edward Lowassa ambaye alikua mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 kupitia tikect ya CHADEMA, ameziweka hizi picha zake tatu akichunga Ng’ombe kisha akaandika haya maneno hapa chini. >> ‘Ndugu zangu,naendelea kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Nikiwa shambani kwangu Mzeri, Handeni nikichunga mifugo yangu naona miujiza ya Mungu ikitendeka. Mazingira ya asili ni zawadi […]

The post Edward Lowassa kaweka hizi picha 3 akichunga Ngo’mbe alafu akaandika haya maneno 46 appeared...

 

10 years ago

Vijimambo

AKATI WAGOMBEA WENGINE NDANI YA CCM WANA MLALAMIKIA LOWASSA HEBU TUJIULIZE HAYA MASWALI....

January Makamba amechapisha vitabu vyakena kugawa kwa wajumbe wote wa mkutanomkuu, mbona Lowassa hakulalamika?January Makamba alinunua Simu za GallaxySumsang zaidi ya 140 akazigawa kwa wajumbewa baraza UVCCM ZANZIBAR.January 2013 alipokusanya marais wa vyuovikuu Tanzania nzima Mt. Uluguru Hotel nakuwalipa laki moja na nusu kila moja ili watoetamko kuwa anafaa kuwa rais, mbona Lowassahakulalamika?Membe amekuwa akipendelea Wafuasi wakekwenda kusimamia chaguzi Kama waangaliziwa Sadc, mbona...

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge Edward Lowassa kakaribishwa UKAWA, amejiunga nao? Majibu ni haya kwa Mbatia… (Audio)


“Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje” Hii ni moja ya sentensi ambazo Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa aliziongea Arusha May 30 2015 alipotangaza nia ya Kugombea Urais kupitia CCM. SOURCE:MILLARDAYO.COM

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani