LULU AMEMNASA MENEJA WA WEMA SEPETU
![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWzASXwNmbLueurnCUj1eVTpOePp*6ez0Z1pj13snTN3HYqrg9ibrK298QgRWuDnb2jYsds2aoH3p-fg18ta4rgD/lulu.jpg?width=650)
Na Shakoor Jongo Taarifa ikufikie kwamba sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amemnasa aliyekuwa meneja wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda ambaye ndiye atakuwa meneja wake kwa sasa. Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akizungumza na Amani kwenye Hoteli ya Hyatt Regency The Kilimanjaro iliyopo Posta jijini Dar hivi karibuni waliponaswa wamegandana kama ruba,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo507 Dec
‘Wema Sepetu na Lulu wanaweza kufanya vizuri Hollywood’ asema staa mkubwa wa filamu
![wema lulu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/wema-lulu-300x194.jpg)
Staa wa filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon amesema Wema Sepetu na Elizabeth ‘Lulu’ Michael wanaweza kufanya vizuri Hollywood.
Akiongea na Bongo5, Napoleon amesema uwezo wa waigizaji hao unaweza kutisha watu kama wakipewa muongozo mzuri.
“Tanzania tuna waigizaji wazuri wengi sana,” amesema. “Watu wengi wakiangalia bongo movie wanaona movie mbovu au vipi. Hilo sio suala la uigizaji, hayo yanakuwa ni mambo mengine ya production yanayofanya filamu iwe mbovu labda filamu imeharakishwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F_3krU1MtNQ/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/L87BcYtLJm8/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
10 years ago
Bongo Movies23 Mar
Leo Ikiwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Meneja Wake, Wema Asema Haya...
Meneja wa staa na mrembo Wema Sepetu, Martin Kadinda leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa na hiki ndicho Wema alichotoboa mara baada ya kubandika picha hiyo akiwa na Kadinda.
“I think da picture speaks for itself... My kaka Manager.....!!! I thank the good Lord for you cause only he knows wat i would’ve bin without you.... My very own Shadow... I dont call you The Man behind Wema Sepetu for nothing but because you truly are that One person standing behind me and Iam The luckiest girl to...
10 years ago
Bongo Movies23 Mar
Leo Ikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Meneja Wake, Wema Asema Haya...
Meneja wa staa na mrembo Wema Sepetu, Martin Kadinda leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa na hiki ndicho Wema alichotoboa mara baada ya kubandika picha hiyo akiwa na Kadinda.
“I think da picture speaks for itself... My kaka Manager.....!!! I thank the good Lord for you cause only he knows wat i would’ve bin without you.... My very own Shadow... I dont call you The Man behind Wema Sepetu for nothing but because you truly are that One person standing behind me and Iam The luckiest girl to...
10 years ago
Mtanzania27 Jan
KUMRADHI WEMA SEPETU
Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za weledi...
10 years ago
Vijimambo20 Nov