Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lulu: Mnanipa Bichwa Mwenzenu

Staa mrembo wa Bongo Movies anayependwa na wengi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewapasha mashabiki wake mtandaoni kuwa wanavyozidi kumwagia misifa kwa urembo wake wanasababisha ajione kuwa yupo juu sana wakati yeye ni wakawaida.

LULU211
“Mnajua mkiniongelea Sana mnanipa Bichwa Mwenzenu😂😂😂😂naanza kuona Kama bila mm vitu haviwezekani hivi😭😭😭Msinifanyie hvyo…Najikuta MATAWI mwenzenu😭😭😭wakati Sina lolote😁”-Lulu

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WANANCHI NISAIDIENI MWENZENU‏

Ndugu  Peter Mashiku anahitaji msaada wa matibabu ya haraka baada ya kuvimba mkono wa kushoto kwa muda mrefu kutokana na pete alizokuwa amejaa
Ndugu  Peter Mashiku mkazi wa Mwatulole mjini hapa anahitaji msaada wa matibabu ya haraka baada ya kuvimba mkono wa kushoto kwa muda mrefu, sasa (kama anavyoonekana pichani) Hali hiyo imesababisha bwana mashiku aishi kwenye mazingira magumu kutokana na familia yake kumtenga baada...

 

9 years ago

GPL

‘KILICHONIPATA MWENZENU NI MUNGU TU’

Na Makongoro Oging’ KIJANA Juma Rajabu mwenye umri wa miaka 15, mwenyeji wa Manyoni mkoani Singida yupo katika maumivu makali, kufuatia ugonjwa wa ajabu uliompata katika mguu wake, ambao anadai chimbuko lake hasa ni ajali ya kugongwa na gari iliyompata wakati akitokea dukani. Akiwa hana wazazi wote wawili waliofariki akiwa bado na umri mdogo, Juma anasimulia jinsi alivyokutana na ajali hiyo inayomsababishia mateso kwani...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu

"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "

Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema  hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.

 

 

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake

“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)

Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!

Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.

Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake

“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)

Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!

Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.

Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani