LUPITA NYONG'O BAADA YA KUMMWAGA K'NAAN HABARI NDIYO HII
Hii ndiyo mara ya mwisho kuonekana kama couples Lupita na K'naan ilikuwa Nov 2014 walivyopigwa picha hii wakitoka dina New York City, nyatu nyatu zinasema Lupita kashamtema K'naan na sasa yupo na Jared Leto.
Jared Leto akiwa zero distance mkono kiunoni mwa Lupita kwenye award za SAG zilizofanyika jumapili na Lupita kupa moja za award hizo.
Habari ndiyo hiyo K'naan abakie kuwa mpole tu kiroho safi Jared Leto full kicheko.
Vijimambo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania