Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUPITA NYONG’O NA FAMILIA YAKE KUTUA TAMASHA LA 17 LA ZIFF

Mkurugenzi Mkuu wa ZIFF, Profesa Martin Mhando (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua rasmi Tamasha la Filamu la nchi za Majahazi la 17 maarufu kama Zanzibar International Film Festival (ZIFF). Kulia Msaidizi wa Kitengo cha habari ZIFF, Lara Prieston, Kushoto ni Meneja wa Tamasha la ZIFF, Daniel Nyalusi (Dean), Afisa Mawasiliano wa ZIFF, Hassan Musa "Has T" (wa pili kushoto) na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Lupita Nyong’o na familia yake kutua tamasha la 17 la ZIFF

*Geneviveve Nnaji na John Dumelo nao ndani

 *Habib Koite, Didier Awadi kuburudisha

*Filamu ya Mandela kufungua pazia

DSC_0021

Mkurugenzi Mkuu wa ZIFF, Profesa Martin Mhando (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kuzindua rasmi Tamasha la Filamu la nchi za Majahazi la 17 maarufu kama Zanzibar International Film Festival (ZIFF). Kulia Msaidizi wa Kitengo cha habari ZIFF, Lara Prieston, Kushoto ni Meneja wa Tamasha la ZIFF, Daniel Nyalusi (Dean), Afisa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la 17 ZIFF kumleta Lupita Nyong’o

 DUNIA inatarajia kushuhudia tukio kubwa na la kihistoria ndani ya viunga vya Ngome Kongwe ndani Mji Mkongwe wa Stone Town, Unguja, kwa watu wa mataifa yote watakapoungana na kushuhudia ‘Hatma...

 

9 years ago

Bongo5

Mdogo wa kiume wa Lupita Nyong’o, Peter Nyong’o apata shavu la kwanza la kuigiza filamu ya Hollywood

Mdogo wa kiume wa mwigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o aitwaye Peter Nyong’o ameanza kufata nyayo za dada yake kwa kupata shavu la kuigiza kwenye filamu mpya huko Hollywood. Peter amepata nafasi ya kucheza kwenye filamu ya ‘Nocturnal Animals’ ya Tom Ford ambayo itatoka mwakani 2016. Hii itakuwa ndio mara yake ya kwanza kugiza kwenye filamu […]

 

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

PHOTO — Lupita Nyong’o Pregnant..?


It’s pregnancy season and everyone seems to be looking forward to that bundle of joy. Esther Passaris was thought to be expectant after pictures showing her protruding belly started doing rounds, but she confirmed that she has just gotten fat.Hollywood girl Lupita Nyong’o’s pregnant picture is also doing rounds, but if you were among those who had fallen for it, it’s just some average photoshop skills.
The Original;

 

11 years ago

BBC

Lupita Nyong'o in Lancome deal

Lupita Nyong'o, an Oscar winner for her role in 12 Years A Slave, becomes the first black ambassador for French cosmetics giant Lancome.

 

11 years ago

BBC

Lupita Nyong'o named most beautiful

Kenyan Oscar-winning actress Lupita Nyong'o, 31, is named the world's most beautiful person for 2014 by the US People magazine.

 

11 years ago

BBC

Birthday award for Lupita Nyong'o

Kenyan actress Lupita Nyong'o wins an Independent Spirit award for her debut movie role in 12 Years a Slave, on the eve of the Oscars.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani