Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maandamano ya CHADEMA, UKAWA jijini Dar es Salaam

Wananchi wamefanya maandamano huko Manzese jijini Dar es Salaam wakipinga kile wanachokiita ni wizi unaoendelea ndani ya bunge Maalum la Katiba ikiwa ni mwendelezo wakutimiza tamko la Mwenyekiti wa CHADEMA na UKAWA la kufanya maandamano nchi nzima kupinga mchakato huo.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Akiwanadi Wagombea Uongozi Serikali za Mitaa wa UKAWA viwanja Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.

 Umati wa watu wakimsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kupitia UKAWA katika Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akihutubia katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika katika viwanja Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...

 

11 years ago

Michuzi

Maandamano katika sherehe za mei mosi uwanja wa uhuru jijini dar es salaam

 Wakala wa Ndege za Serikali wakiwa katika maandamano hayo yaliyofana sana  Wizara ya Mambo ya Ndani nao ndani  Benki Kuu  Wakala wa Ndege za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu. Kwa picha za kumwaga BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

wafanyakazi wa tanzania standard newspapers watia fora katika maandamano ya mei mosi katika uwanja wa uhuru jijini dar es salaam

Wafanyakazi wa magazeti ya serikali wa Tanzania Standard Newspapers ltd. (TSN) wachapishaji wa Daily News, Habari Leo na Sunday News wakipita kwa bashasha mbele ya mgeni rasmi karika sherehe za Mei Mosi mwaka huu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam wakiwa na mabango na magazeti yao mkononi. TSN Oyeeeeeee..... Mzee mzima Michael Mbiro akiwa na vijana wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakiwapungia wana TSN wakati wanapita mbele yao. Rais ndiye Editor-in-Chief...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Kambi ya Upinzani Bungeni yaandaa futari wakati wa kikao cha ukawa jijini Dar es salaam

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa akishiriki futari iliyoandaliwa na Ofisi ya Kambi ya Upinzani Bungeni wakati wa kikao cha Viongozi Wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na wabunge wa umoja huo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam kujadili mikakati mbalimbali ya ushindi kuelekea uchaguzi mkuu. Kushoto kwake ni Mbunge wa CUF, Ali Khamis Seif (Mkoani) na kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa NLD Zanzibar, Ahmad Hemed. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA YAANDAA KONGAMANO LA WAZEE, KUFANYIKA KESHO HOTELI YA BLUE PEARL UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Hashim Juma Issa (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu kongamano litakalo wakutanisha wazee wote bila kujali itikadi za vyama vyao litakalo jadili mustakabali wa taifa kuelekea uchaguzi mkuu litakalofanyika  kesho ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl Ubungo jijini Dar es Salaam. Makamu  Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM NA AJITAMBULISHA KWA WANA DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa...

 

10 years ago

Michuzi

klabu za michezo za maveterani Dar es salaam kurehemu marehemu Jumatatu (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam

Umoja wa klabu za michezo za maveterani Dar es salaam,  chini ya uratibu wa klabu za Singasinga na Tazara,  unatangaza rasmi kwamba  shughuli ya kurehemu wanachama wenzetu ambao wametangulia mbele ya haki itafanyika JUMATATU 12/1/2015, ikiwa pia ni  sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Mapinduzi.
Ratiba itaanza  Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika  kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani