Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Machafuko Ukraine yatazusha vita:Putin

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema machafuko Mashariki mwa Ukraine yanawezakuzusha vita na machafuko ya kudumu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Putin: Machafuko Ukraine yatazusha vita.

Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema machafuko Mashariki mwa Ukraine yanaleta wasiwasi wa kuweza kuzuka kwa vita na mwendelezo wa mzozo.

Akizungumza kupitia televisheni Putin amesisitiza kuzingatiwa kwa mpango wa Amani ya mashariki mwa Ukraine uliojadiliwa Minsk na kupitishwa na baraza la usalama la umoja wa mataifa

Hata hivyo kwa mara nyingine Rais Putin amekanusha madai ya majeshi yake kushiriki katika mzozo.

use of cialis pills

Kiongozi huyo pia ameyaraja mataifa ya Urusi,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Putin azungumzia machafuko Ukraine

Rais Vladimir Putin wa Urusi ameitaka serikali ya Ukraine kusitisha mapigano mashariki mwa nchi hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Putin na Obama wazungumzia Ukraine

Rais wa Urusi Vladimir Putin na Barack Obama wa Marekani wamefanya mazungumzo kuhusu mzozo wa Ukraine.

 

11 years ago

BBCSwahili

Putin akutana na rais wa Ukraine

Putin na Rais Petro Poroshenko, walikutana kwa muda mfupi kabla ya dhifa ya mchana katika maadhimisho ya miaka 70 tangu Ulaya kukombolewa kutoka kwa Wanazzi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Putin ataka Ukraine kuonda majeshi

Rais wa Urusi, Vladmir Putin, ametoa wito kwa Ukraine iyaondoe majeshi yake Kusini Mashariki mwa taifa hilo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Putin ashutumu mapinduzi nchini Ukraine

Rais Vladimir Putin wa Urusi amesema ukiukaji wa katiba ndiyo chanzo cha ghasia nchini Ukraine

 

9 years ago

TheCitizen

We won’t impose sanctions against Ukraine, says Putin

State Duma received a bill on termination of the free trade zone agreement with Kiev

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama awasiliana na Putin kuhusu Ukraine

Rais Obama ametoa mapendekezo ya ya kusuluhisha mgogoro wa Ukraine kwa njia ya kidiplomasia ikiwemo Urusi kuwaondoa wanajeshi wake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Putin akiri kunyakua Crimea kutoka Ukraine.

Rais wa Urusi Vladimir Putin, kwa mara ya kwanza amekiri kuamrisha unyakuzi wa jimbo la Krimea kutoka Ukraine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani