MADARAKA YA RAIS YAWAGAWA WAJUMBE BUNGE LA KATIBA
Suala la madaraka na majukumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, limezua mvutano katika baadhi ya kamati za Bunge Maalum la Katiba na kusababisha mojawapo kuziweka kiporo ibara za 72 na 73 za sura ya saba ili kutoa fursa kwa wajumbe kutafakari zaidi. Wajumbe waliotofautiana na kulazimika kuziweka kando ibara hizo ili kuendelea kujadili ibara nyingine za Rasimu ya Katiba kuwa ni wa kamati namba 10 inayoongozwa na Anna Abdallah. Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Salmin Awadh Salmin, alisema...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Aug
Wajumbe Bunge la Katiba waridhia madaraka ya Rais kupunguzwa
Na Waandishi Wetu, Dodoma
BAADHI ya wajumbe wa kamati namba 12, wamekubaliana kupunguza majukumu ya Rais na kutengwa kwa orodha ya viongozi ambao Rais anaweza kuwateua endapo atafanya uteuzi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Paul Kimiti, alisema kamati yake pia imeridhia utaratibu wa uraia pacha.
Kimiti alisema wajumbe wa kamati yake wameona wapunguze majukumu ya Rais, ikiwa ni pamoja na kumtengea orodha ya viongozi, ambao anaweza kuwateua wakati...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-kd73LQSybdo/UwNVKi9BisI/AAAAAAAFNyQ/emfkmYBa4os/s72-c/534807487.jpg)
UWT YAMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-kd73LQSybdo/UwNVKi9BisI/AAAAAAAFNyQ/emfkmYBa4os/s1600/534807487.jpg)
Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) umempongeza Mhe. Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete kwa uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba linalotarajia kuanza leo Mjini Dodoma.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja huo Eva Mwingizi ilisema uteuzi wa Rais umezingatia umri, weledi, uzoefu na uwakilishi wa makundi mbalimbali ya kijamii.
Mwingizi alisema uteuzi huo umeangalia asilimia 50 ya...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Gb_hmItxCFM/U_yjdqFoofI/AAAAAAAGCiU/p2LUak-hf6c/s72-c/unnamed%2B(23).jpg)
Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...
11 years ago
Michuzi20 Feb
taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-jyUmlW2B5UM/UwYVaXuz21I/AAAAAAACprg/y0XD14-INGE/s1600/mtanda.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-15UcnFNNLik/UwYVcoRJp-I/AAAAAAACprw/eOOpdzCRJHA/s1600/WMK.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-FJdD5nbXlWw/UwYVS8qkz6I/AAAAAAACprY/5a9HX2w8teI/s1600/2B.jpg)
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/07/IMG_0528.jpg?width=650)
MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAWANOA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Michuzi26 Sep
Mtandao wa Wanawake na Katiba Wawapongeza Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba
![Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Prof. Ruth Meena akizungumza na waandishi wa habari.](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/m8cdBlx8iECl07lgecM4ereL6z_GbOh3tUadh62rn422chXgPsPTnJHdcv-x1j1MxWBmgSOvMIDVuzErtbHqt1mSo93mbA_UpwfgTJ76vkNQlCJekyo=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_0134.jpg)
![Mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Tanzania, Usu Mallya (katikati) akizungumza katika mkutano huo na wanahabari.](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/Qh13ySPsV1yD99prfBkyxntjJa03R9Yw8Qlnu3rxYw5IJd4RTvkGetB-ckBG38daGLR0Gv9VcYWSzA-4tviSK0dxCp7LVSV5Ye1r3cIUkK_1qZJ3m4um=s0-d-e1-ft#http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/09/IMG_01911.jpg)