Madonna aanguka katika tuzo za Brits
Tuzo kuu nchini Uingereza za muziki, the Brits, zimetolewa London. Ed Sheeran alichaguliwa kama msanii.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMADONNA AONYESHA MAKALIO YAKE KATIKA RED CARPET ZA TUZO ZA GRAMMY 2015
Madonna akionyesha makalio yake. MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa Pop nchini Marekani asiyeishiwa vituko, Madonna jana ametoa kali nyingine baada ya kuinua juu gauni lake na kuonyesha makalio yake wakati akipiga picha za red carpet kwenye zoezi la utoaji Tuzo za 57 za Grammy. Madonna akiwasili katika red carpet ya Tuzo za Grammy 2015 akiambatana na mwanamuziki Nas. Madonna… ...
5 years ago
BBCSwahili19 Feb
Oscars, Brits na Baftas: Je tuzo kuu hujumuisha watu wa tabaka mbali mbali?
Watu kadhaa wa hadhi ya juu wamezusha suala la ukosefu wa uwakilishi sawa katika tuzo za kimataifa kama Baftas, Brits na zile za Oscars.
5 years ago
The Guardian19 Feb
Politics and powerful performances at the 2020 Brits – but no shock winners
Politics and powerful performances at the 2020 Brits – but no shock winners The GuardianBrit Awards: Red carpet in pictures BBC NewsTom Walker on Lewis Capaldi and wedding bands at the Brits STV NewsBrit awards 2020: who will win every award … and who should The GuardianBrits 2020: Full winners list BBC NewsView Full coverage on Google News
5 years ago
Capital XTRA19 Feb
BRITs 2020: Dave wins Album Of The Year for 'Psychodrama'
BRITs 2020: Dave wins Album Of The Year for 'Psychodrama' Capital XTRABrits 2020: Dave wins album of the year and calls PM 'racist' BBC NewsDave attacks Boris Johnson in Brit awards performance: 'Our prime minister's a real racist' The GuardianRapper Dave Calls Boris Johnson 'Racist' During Brits Performance LADbibleDave's Brit Awards politically-charged rap hits out at Boris Johnson and pays tribute to London Bridge attack victims Evening StandardView Full coverage on Google...
11 years ago
Michuzi29 Jun
LULU, MILARD AYO, KING MAJUTO WAIBUKA VINARA KATIKA SHEREHE ZA UTOAJI TUZO ZA WATU KATIKA HOTELI YA SERENA
Millard Ayo akipokea Tuzo ya Mtangazaji wa Radio wa kiume anayependwa mara baada ya kuibuka mshindi katika kipengele hiko
Akiwashukuru Wadau waliompigia kura na kumpa sapoti
Salim Kikeke kutoka Idhaa ya Kiswahili ya BBC akiwashukuru wadau wake waliomuwezesha kushinda Tuzo
King Majuto akifurahi mara baada ya kuppokea Tuzo yake mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kipengele cha Msanii Bora anayependwa wa Kiume.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.
Kwa picha zaidi BOFYA...
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Madonna ambusu Drake
Mwanamuziki mkongwe Madonna amezua mjadala mkali mitandaoni baada ya kumbusu mwanamuziki wa kizazi kipya Drake jukwaani
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Madonna:Nawapenda vijana wadogo
Madonna amesisitiza kuwa anavutiwa na vijana wadogo kwa kuwa hawezi kuanza uhusiano na wanaume wa umri wake ambao wameoa
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania