MAENDELEO YA PROJECT YA T.E.S NDANI YA UNIVERSITY OF THE DISTRICT OF COLUMBIA
Machine ya kukaushia matunda na samaki kwenye shamba la University of the District of Columbia huu ndiyo muonekano wake hadi sasa baada ya kuanza kuleta picha ya kuwa tayari kufanya kazi katikati ya mwezi ujao. Machine hii ni maalum kwa ajili ya wanafunzi wa chuo hicho.
Hii ndiyo computer itakayoendesha mashine mzima ikisubiri kufungwa Manager wa project bwana William alianza kutoa plastic hili aone itaonekana vipi baada ya kukamilika. Engineer na designer wa machine hii Dr Temba akipata...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboPITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA SHAMBA LA UNIVERSITY OF THE DISTRICT OF COLUMBIA
Project ya ujenzi wa machine ya kukaushia samaki na matunda iliyobuniwa na Dr Temba imeenza kuwaka kama unavyoona kwenye picha project manager bwana William akiiwasha machine hiyo kwa mara ya kwanza na pembeni yake ni Dr Temba na nyuma William ni Sam fundi umeme.
Dr Temba akiongeza speed ya machine hiyo kwa majaribio kabda ya vifaa vingine kufungwa na company yake ya T.E.S kutoka Brooklyn. NY.
Hapa ni sehem itakayofungwa compute maalum itakayoendesha machine hii.
Wageni wakiaangalia machine...
9 years ago
VijimamboUKODAK WA VIJIMAMBO ULIVYOTEMBELEA UNIVERSITY OF THE DISTRICT OF COLUMBIA
Dr Temba akisimama mbele ya machine ya kukaushia samaki na matunda aliyoidesign kutoka New York na kwenda kuifunga hapa yeye na Ny Ebra kwa ajili ya shamba la wanafunzi wa University of the District of Columbia Washington DC. Dr Temba na company yake ya T.E.S ilipata tenda ya ku design machine hii maalum yenye uwezo wakutumia umeme wa kawaida, generator na solar power hili kufundishia wanafunzi wa chuo hicho jinsi ya kukausha samaki na matunda yanayopatikana kwenye shamba la chuo hicho...
10 years ago
VijimamboPITA PITA YA VIJIMAMBO NA T.E.S NA UNIVERSITY OF DISTRICT OF COLUMBIA
10 years ago
VijimamboTANZANIA CHILDREN'S PROJECT YAFANYA HARAMBEE KUSAIDIA WATOTO TANZANIA COLUMBIA, MARYLAND
10 years ago
Michuzi10 years ago
GPLHISIA WA TUSKER PROJECT FAME 6 NDANI YA STUDIO ZA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
VijimamboDodoma University and Rutgers University Sign MoU on Academic Partnerships
10 years ago
MichuziThe Journey of 10 BG Tanzania Scholars who will join University of Aberdeen and Robert Gordon University in UK to pursue their MSc Degree studies in Oil and Gas
The British Council conducted a pre-departure briefing on 15 August, 2014 as part of preparation for their studies in UK to 10 BG Tanzania Scholars who won the award to study Master’s degree in oil...
10 years ago
Michuziinauguration of a new degree program, Master of Science (Applied Economics and Business) at mzumbe university, Morogoro, in collaboration with CMR University of Bangalore, India