Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAFALI YA 14 YA TANZANIA ADVENTIST SECONDARY SCHOOL ARUSHA YAFANA


 Meza kuu ikitambulishwa  katika mahafali ya 14 ya Kidato cha Nne ya Tanzania Adventist Secondary School iliyoko  Arusha,  Jumapili iliyopita.  Mgeni rasmi Brigedia Jenerali George Mshamba akitoa nasaha katika mahafali ya 14 ya Kidato cha Nne ya Tanzania Adventist Secondary School iliyoko  Arusha,  Jumapili iliyopita.
 Wahitimu wa Kidato cha Nne wa Tanzania Adventist Secondary School iliyoko  Arusha  katika mahafali ya 14 ya shule hiyo yaliyofana sanja Jumapili iliyopita. Wa kwanza kushoto na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA TATU YA SHULE YA SEKONDARI YA KAJUMULO GIRLS HIGH SCHOOL BUKOBA YAFANA, BW. JAMES RUGEMALIRA ATOA MILLIONI 200/-


wahitimu wa kidato cha sita wa shule ya Kajumulo Girls High School wakati wa kusherekea mahafali ya tatu Wanafunzi wa Kajumulo Girls High School wanaohitimu kidato cha 6 wakati wa kusherekea mahafali ya tatu katika shule yao. Prof. Anna Tibaijuka kwa furaha akitoa neno. Kwa niaba ya Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea na Mwana hisa wa “VIP Engineering and Marketing Ltd” Mzee James Rugemalira aliyependa kuwa nasi leo lakini akashindwa kutokana na majukumu mengine, tunayo furaha...

 

10 years ago

Michuzi

SHULE YA AWALI YA ABEL MEMORIAL NURSERY AND PRIMARY SCHOOL SASA KUANZA KUTOA ELIMU YA MSINGI MWAKANI, MAHAFALI YAO YAFANA

Wanafunzi ambao ndio wamehitimu shule ya ABEL MEMORIAL NURSERY AND PRIMARY SCHOOL leo shule ambayo ipo bunju jijini Dar es salaam hapa wakikata keki pamoja na mwalimu wao ishara ya kufurahia mafanikio waliyoyapata pamoja na mafanikio ya shule hiyo tanghu kuanmzishwa kwakeWahitimu wakiwa katika pozi za kusubiri sherehe ya kuwaaga rasmi kutoka elimu ya awali kuingia elimu ya msingiMgeni rasmi wa mahafali hayo mama NEEMA KIBANGA ambaye ni afisa elimu wa kata ya bunju akikabidhi vyeti kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Invitation to Join Advanced Level Secondary Education at Wama-Nakayama Secondary School

mama-akikagua-mazingira-ya-Shule-kabla-ya-ufunguzi

Advertisement- Wama Nakayama Form Five 2014 Final by moblog

 

11 years ago

TrustLaw

Tanzania: Increase Access to Secondary School


Human Rights Watch
Tanzania: Increase Access to Secondary School
TrustLaw
Any views expressed in this article are those of the author and not of Thomson Reuters Foundation. Tweet Widget Facebook Like Email The Tanzanian government should allow children access to secondary school regardless of their final primary school ...
Letter by HRW and TCRF to Tanzania Minister of EducationHuman Rights Watch

all 3

 

10 years ago

AllAfrica.Com

Secondary School Students in Siha, Tanzania to Own Laptops By 2025


Secondary School Students in Siha, Tanzania to Own Laptops By 2025
AllAfrica.com
Every secondary School student in Siha, which is one of the seven administrative districts of Kilimanjaro Region in Tanzania is set to own a laptop computer and every household to have a university graduate by 2025. This was said by SIHA Member of ...

 

11 years ago

Gazette.Net: Maryland Community News Online

Silver Spring student teaching at secondary school in Tanzania


Silver Spring student teaching at secondary school in Tanzania
Gazette.Net: Maryland Community News Online
Mariel Shilling of Silver Spring is nearly done with a six-week trip to Zanzibar, Tanzania, through America's Unofficial Ambassadors program. After taking a seminar on Tanzania last spring at Washington College in Chestertown, Md., Shilling saw the need for ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahafali ya 12 ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) yafana, jijini Dar es Salaam


Kikosi cha band cha Jeshi la Magereza kikiongoza maandamano kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo.

 Wahadhiri wa Taasisi hiyo pamoja na mgeni rasimi wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo.

Wahitimu wakiandamana kwenda uwanjani tayari kwa hafla hiyo. 5 Meza kuu  Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo, Shah Hanzuruni akizungumza jambo.     Wahitimu wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA), wakiwa katika mahafali yao hayo.  Baadhi ya wahitmu wa Chuo hicho, wakitunukiwa shahada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani