Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI

Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (wa nne kushoto), Mhe. Shaaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa pili kulia), Bw. Kajubi Mukajanga, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Mhe. Jaji Mstaafu, Thomas Mihayo, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) (wa tatu kushoto), Prof. Mugongo Fimbo (wa pili kulia) na Msajili wa ICTR (wa kwanza kulia) wakiwa  katika picha ya pamoja na baadhi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI (JUDICIAR MEDIA FORUM) KUJADILI JUU YA MISINGI BORA YA UPASHANAJI HABARI KATIKA UTENDAJI BAINA YA TAASISI HIZO MBILI

 Mhe. Jaji Mstaafu Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) akitoa neno katika Mkutano Kati ya Mahakama na Vyombo vya Habari, 'Judiciary Media Forum' unaofanyika Leo katika UKUMBI wa mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre. (JNICC). Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (wa kwanza kushoto), Mhe. Jaji Mstaafu, Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wa pili kushoto, Mhe. Shaaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa ...

 

10 years ago

Vijimambo

HALI YA HEWA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI

Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi akizungumza na wadau wa sekta mbalimbali na wahariri wa vyombo vya habari ( hawapo pichani) inayohusu utabiri wa mvua za msimu wa Machi-Mei 2015, iliyofanyika Kibaha, Pwani Tarehe 26 Februari 2015Wadau wa sekta mbalimbaliwadau wa sekta mbalimbali na wahariri wa vyombo vya habari wakimsikiliza mkurugenzi mkuu TMA (hayupo pichani) wakati wa warsha inayohusu utabiri wa mvua za msimu wa Machi-Mei 2015, iliyofanyika Kibaha, Pwani Tarehe 26 Februari 2015

 

10 years ago

Michuzi

SSRA yakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (kulia) akizunguma wakati wa semina ya wahariri wa vyombo vya habari, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Picolo, Kawe jijini Dar es Salaam. Kushoto ni baadhi ya wahariri hao.Mkurugenzi wa Utafiti, Tathimini na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi akiwasilisha mada kuhusu Mafao ya Pensheni, wakati wa semina hiyo ya wahariri, Dar es Salaam jana.Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI MJINI BAGAMOYO

Mkurugenzi wa Operesheni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Asumpta Malya, akionyesha tuzo ambayo PPF ilipata kwenye shindano la Afrika linaloandaliwa na taasisi ya ISSA, kuhusu utoajin bora wa huduma wa mifuko ya hifadhi ya jamii barani Afrika, hususan kwenye fao la elimu. Alikuwa akiwaonyesha wahariri wa vyombo vya habari kwenye semina ya siku moja iliyoandaliwa na Mfuko huo mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani Jumamlosi Desemba 13, 2014 baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kwenye mifuko ya hifadhi ya...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari

Mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari wafanyika katika Hotel ya Aishi Protea iliyoko Machame wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro Mtoa mada akiongea wakati wa mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe Novatus Makunga akiongea wakati akifungua katika mkutano huo Picha za pamoja ya mgeni rasmi na washiriki baada ya ufunguzi wa mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

OFAB TANZANIA YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI

Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti cha Mikocheni (MARI), Dk. Andrew Ngereza akitoa historia fupi ya kituo hicho wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na Jukwaa la Bioteknoloji Tanzania (OFAB)Mkurugenzi wa Sayansi Hai wa COSTECH, Dk.Flora Tibazarwa akitoa mada katika semina hiyo. Mtafiti Kiongozi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Nicholas Nyange (kulia), akielekeza jambo wakati wa semina hiyo.
Mtaalamu wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wakutana na Wahariri wa vyombo vya habari Jijini Dar

01

Afisa  habari wa Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bestina Magutu( kulia)akiwa tambulisha  Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo kwa wahariri wa vyombo vya Habari nchini  katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Peacock jijini Dar es Salaam.ikiwa ni mahususi kwa wahariri vyombo mbalimbali nchini.

004

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Fadhili Manongi  akifafanua jambo  kwa wahariri wa vyombo vya habari nchini (hawapo pichani) juu ya Kanuni na taratibu za Mamlaka...

 

10 years ago

GPL

LOWASAA AKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI JANA DODOMA

  Waziri Mkuu mstaafu, Edward lowassa akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Dodoma jana kuhusu mambo mbalimbali pamoja na safari ya matumaini.  Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akizungumza na wahariri mjini Dodoma hao.
    Wahariri wakimsikiliza kwa makini Lowassa. …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani