MAKALA YA SHERIA: JE TRAFIKI ANARUHUSIWA KUKUNYANG”ANYA LESENI?
![](http://3.bp.blogspot.com/-BTVUNr5zSOQ/VcuvPY49tuI/AAAAAAAHwSE/CBFn5QGqe1g/s72-c/images.jpeg)
Na Bashir Yakub.Kumekuwepo na sintofahamu nyingi kwa madereva na watumiaji wengine wa vyombo vya usafiri. Sintofahamu hii imekuwa ikiletwa na baadhi ya mambo ambayo hayaeleweki sawasawa katika suala zima la usalama barabarani na sheria zake. Wadau wa barabarani wamekuwa wakilaumiana, madereva wakiwalaumu askari wa barabarani kwa uonevu huku askari wa barabarani wakiwalaumu madereva kwa ukorofi na ukosefu wa utii wa sheria bila...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3rYO1fT7-a8/VMapyZS60II/AAAAAAAG_o0/ZnWy8X5VYn0/s72-c/12.jpg)
MAKALA SHERIA: HAITOSHI KUUNDA KAMPUNI, LAZIMA UWE NA LESENI YA BIASHARA, HII NI NAMNA YA KUPATA LESENI YA BIASHARA
![](http://4.bp.blogspot.com/-3rYO1fT7-a8/VMapyZS60II/AAAAAAAG_o0/ZnWy8X5VYn0/s1600/12.jpg)
Katika makala iliyopita nilisema kuwa vijana wengi wajasiriamali wanaofungua biashara za makampuni wanao uwezo mkubwa wa kufika mbali isipokuwa tatizo lao ni taarifa za mambo mbalimbali kuhusu uendeshaji wa kampuni hizo.
Mambo ya uendeshaji wa kampuni ni mepesi sana na yanawezwa na mtu yeyote isiopokuwa tatizo ni taarifa na elimu ya namna ya uendeshaji kisheria ili kampuni ionekane ni kampuni. Nilieleza...
11 years ago
Mwananchi30 May
Serikali yatishia kuwanyang’anya leseni wachimbaji madini
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-jTyBDNq288o/VdyZTkaAo6I/AAAAAAAHz8I/J8nnsC97AtE/s72-c/00221917e13e0e8cb0b11c.jpg)
MAKALA YA SHERIA: KWA MUJIBU WA SHERIA NDOA HIZI HAZIRUHUSIWI
![](http://3.bp.blogspot.com/-jTyBDNq288o/VdyZTkaAo6I/AAAAAAAHz8I/J8nnsC97AtE/s400/00221917e13e0e8cb0b11c.jpg)
Hapa kwetu Tanzania tunazo ndoa za aina kuu mbili. Kwanza tunazo ndoa za kiraia au kiserikali, na pili tunazo ndoa za kimila.
Ndoa za kiraia au za kiserikali kama zinavyojulikana kwa wengi ni zile ambazo hufungwa chini ya usimamizi wa mamlaka za serikali kama ofisi ya mkuu wa wilaya n.k. Na kwa upande wa ndoa za kimila hizi ni zile ambazo hufungwa kutokana na taratibu za watu wa kabila au koo fulani kwa mujibu...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lYQDo02t4W4/VQe_C_ejV3I/AAAAAAAHK2I/YKfI2eo4pLY/s72-c/images.jpg)
MAKALA YA SHERIA: SHERIA HAILAZIMISHI KUTOA MATUNZO YA MTOTO KULIKO UWEZO WAKO.
![](http://3.bp.blogspot.com/-lYQDo02t4W4/VQe_C_ejV3I/AAAAAAAHK2I/YKfI2eo4pLY/s1600/images.jpg)
1.HUWEZI KUMLAZIMISHA ...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CguWNueyCEo/VZBhrJP7FBI/AAAAAAAHlUE/uwic7DUJaAk/s72-c/download.jpg)
MAKALA YA SHERIA: SHERIA INAMRUHUSU MKOPAJI KUJIUZIA MWENYEWE KIWANJA/NYUMBA YA DHAMANA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-CguWNueyCEo/VZBhrJP7FBI/AAAAAAAHlUE/uwic7DUJaAk/s640/download.jpg)
Na Bashir YakubWiki kadhaa zilizopita nilipigiwa simu na mama mmoja akitaka nimpe ushauri wa sheria kuhusu jambo fulani. Nilifanya miadi naye na tukafanya mazungumzo. Kubwa kuhusu shida yake ilikuwa ni tatizo la mkopo ambapo benki moja imeuza nyumba yake maeneo ya Kinondoni Dar es saaam. Wasiwasi wake ulikuwa ukiukwaji wa taratibu za mauzo ya nyumba yake na hivyo akitaka kujua afanye nini. Maswali yake yalikuwa mengi na ...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nNbTph89s2Y/VWOVtCavNAI/AAAAAAAHZyI/bfOEPT5A2tw/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA SHERIA INAKURUHUSU RAIA KUKATAA KUKAMATWA NA ASKARI TARATIBU ZINAPOKIUKWA ?
![](http://4.bp.blogspot.com/-nNbTph89s2Y/VWOVtCavNAI/AAAAAAAHZyI/bfOEPT5A2tw/s320/law_5.jpg)
Sio siri askari wamekuwa wakitumia nguvu na ubabe mno katika kuwakamata raia. Hata pale pasipo na haja yoyote ya kutumia nguvu bado wao wamekuwa wakilazimisha...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mk4iI9wZyNM/VT1eO8hlhsI/AAAAAAAHTcs/QUU-f2TIgZQ/s72-c/1.1774256.jpg)
MAKALA YA SHERIA: SHERIA INARUHUSU KUJIKINGA HADI KUUA
![](http://3.bp.blogspot.com/-mk4iI9wZyNM/VT1eO8hlhsI/AAAAAAAHTcs/QUU-f2TIgZQ/s1600/1.1774256.jpg)
Kifungu cha 18 cha Sheria ya Kanuni za adhabu sura ya 16 kimeeleza hatua ya mtu kujikinga mwenyewe, kumkinga mwenzake , mali yake mwenyewe na mali ya mwenzake. Kujikinga( defence) maana yake ni kujilinda au kujitetea inapokwa imekutokea dharula ya kuvamiwa na mtu au watu waovu. Uovu ni uovu si lazima awe mwizi . Hata mtu asiyekuwa mwizi lakini amekuvamia kwa nia ovu iwe nyumbani, kazini au sehemu nyingine...
10 years ago
GPLTRAFIKI DAR WAENDESHA ZOEZI LA KUKAMATA BODABODA ZISIZOFUATA SHERIA
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8w_p-yEQHSQ/VjfBpknjZiI/AAAAAAAID-8/N6LTr44kWk8/s72-c/DSC07091.jpg)
Makala ya Sheria: KUMLAZIMISHA SHAHIDI KUFIKA MAHAKAMANI...
![](http://1.bp.blogspot.com/-8w_p-yEQHSQ/VjfBpknjZiI/AAAAAAAID-8/N6LTr44kWk8/s640/DSC07091.jpg)
Na Bashir YakubKesi/shauri lolote iwe jinai au madai kuishinda kwake mara nyingi hutegemea mambo makuu mawili. Kwanza mashahidi ,pili ushahidi. Mashahidi siku zote ni watu. Hakuna kitu kinaweza kuitwa mashahidi halafu kisiwe binadamu. Hii ni tofauti na ushahidi. Ushahidi si lazima wawe binadamu. Vitu hasa vizibiti(exhibit) ndivyo huitwa ushahidi. Nyaraka, mali, vifaa, na kila kitu ambacho mtu anaweza kukitumia mahakamani kuthibitisha kile ...