Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makala ya Shule ya Twayyibat Sec


Mkuu wa wilaya Temeke, Sofia Mjema, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Kiislamu, Twayyibat, iliyopo Manispaa ya Temeke, jijini Dar es Salaam, wiki iliyopita.
Kuwapo kwa shule hizo kutazidi kuongeza idadi kubwa ya watoto wanaopata elimu ya msingi, sekondari na vyuo Vikuu kwa ajili ya kujikomboa katika maisha yao.
Ukiacha mikoani ambako hakuna shule nyingi hususan maeneo ya vijijini, jijini Dar es Salaam kumefanikiwa kuwa na shule nyingi mno, zikiwamo za serikali na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mahafali ya shule ya sekondari Twayyibat kidato cha nne yafanyika temeke jijini dar

  Sehemu ya meza kuu,kutoka kulia ni Imam Abbasi Maunda  (mdau), Bi Halima Mamuya (mdau), Balozi Amina Salum Ali (mgeni rasmi), Fatma Khalfan (Mwenyekiti wa bodi), Juma Omari (mkuu wa shule) wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mahafali hayo ya kidato cha nne,yaliyofanyika mwishoni mwa wiki,Temeke jijini Dar.Mkuu wa Shule ya sekondari Twayyibat,Juma Omari akizungumza machache mbele ya wageni waalikwa mbalimbali,waliofika kwenye hafla hiyo ya mahafari iliyofanyika mwishoni mwa wiki...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA MAALUM: Azania ni shule ya Serikali iliyoibua viongozi lukuki

 Na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
SERIKALI na wadau wa sekta ya elimu wanatakiwa kuboresha shule kongwe zilizopo hapa nchini kwa kuwa zina mchango mkubwa katika kulifikisha Taifa hapa lilipo.
Wasomi wengi waliostaafu, wanasiasa, wabunge na viongozi waliopo sasa madarakani wengi wao walisoma kwenye shule hizo ambazo kwa sasa zinakabiliwa na changamoto nyingi hasa za kitaaluma, hivyo kupoteza umaarufu wake.
Ikumbukwe tu kwamba shule ni sehemu ya kumwandaa kijana ili baadae aweze kukabiliana na...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: WE NI MJASIRIAMALI, UNATAKA KUFUNGUA SHULE, UTARATIBU MWEPESI NI HUU.

Wapo Watanzania ambao ndoto zao ni kumiliki shule. Ninapoongelea shule simaanishi lazima  yawe yale mashule makubwa. Hata shule za awali ambazo zinaanzishwa na wajasiriamali wadogo mitaani nazo ni shule kwa  maana hii katika makala haya.

Nyaraka kuu inayoongoza  taratibu za usajili wa shule binafsi huitwa fomu namba RS8. Huu ndio mwongozo mkuu wa usajili. Kuna mambo ya msingi na ya kisheria ambayo  mtu hutakiwa kujiandaa nayo iwapo  anataka kuanzisha shule binafsi.Mambo haya huwa...

 

9 years ago

BBC

Hitachi pays SEC $19m over SA payments

Japanese firm Hitachi reaches a $19m (£12.5m) deal with US regulators who say it made improper payments to South Africa's ruling party for contracts to build power plants.

 

11 years ago

TheCitizen

Tanga Sec School turns 124 years old

Celebrations to commemorate 124 years since the first secondary school, Tanga Secondary School, was built in Tanzania would be held in tandem with the second Tanga international Trade Fair scheduled from May 24 to June 3, this year.

 

10 years ago

BBC

VIDEO: 15 sec story: Ebola orphaned 'thousands'

Thousands of children have been orphaned by Ebola in West Africa, according to a UN report. Here's the story - in 15 seconds.

 

10 years ago

TheCitizen

DC ups push to have lab built in every sec school

>District authorities in Dodoma municipality   have  embarked on a close monitoring programme that seeks to ensure the district meet the May deadline on the construction of science laboratories in public secondary schools.

 

10 years ago

Dewji Blog

Shule za sekondari zaidi ya 30 kufaidika na mradi wa vitabu wa Airtel Shule Yetu

SONY DSC

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mradi wa “Airtel Shule Yetu” kwa mwaka 2014/15, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mradi huu wa vitabu umeweza kufikia shule zaidi ya 1,000 toka ulipoanza miaka kumi iliyopita. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (katikati), na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.

SONY DSC

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania,...

 

10 years ago

Michuzi

Shule ya sekondari ya Kutukutu Morogoro wafaidika na mradi wa "Airtel Shule Yetu"

Uongozi wa shule ya sekondari ya Kutukutu iliyopo wilayani kilosa mkoani Morogoro, umeishukuru kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa msaada wa vitabu vya masomo ya sayani.
Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni mbili umekabidhiwa hivi karibu na wawakilishi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel ikiwa ni mpango wa SHULE YETU unaosimamiwa na kampuni hiyo.
Akipokea msaada huo kwa niaba ya walimu na wanafunzi wa shule hiyo mkuu wa shule ya sekondari Kutukutu Finyilise Elias amesema,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani