Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMU WA RAIS AKIWA ZIARANI KICHAMA KINONDONI LEO



Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Kinondoni  alipowasili katika Ofisi ya DMDP Magomeni Wilaya ya Kinondoni Jijini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS ZIARANI KICHAMA UBUNGO



Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ubungo  alipowasili katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Ubungo leo Juni  25,2020 kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AHITIMISHA ZIARA YA KICHAMA MKOA WA DSM


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ya Mkoa wa Dar es Salaam alipowasili katika Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam leo Juni 27,2020 kwa ajili ya mkutano wa majumuisho ya ziara yake ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU KATIKA ZIARA YA KICHAMA DAR ES SALAAM

d3050702-f7e6-4dab-a549-16128ea8f38dMjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Kinondoni  Juni 26,2020 alipokuwa kwenye ziara ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam.
07271df8-6eb1-4a28-af69-7f4f1e3b64caWajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti  ya CCM Wilaya ya Kinondoni  wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ZIARANI MKOA WA RUVUMA

 Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewasili Mkoani Ruvuma kwa ziara ya siku mbili kuangalia miradi mbali mbali ya kiuchumi na maendeleo ya Mkoa huo kwa mualiko wa Uongozi wa Jimbo la Peramiho. Kwenye uwanja wa ndege wa Songea Balozi Seif na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi akiambatana pia na Wake wa wabunge na wawakilishi Zanzibar alilakiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambae pia ni Mkuu wa Mkoa Mpya wa Njombe Mh. Aseri Msangi pamoja na...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AMKARIBISHA MAKAMU WA RAIS WA CHINA NA UJUMBE WAKE IKULU DAR LEO, WASAINI MIKATABA

 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara (kulia) akisainiana mkataba na Naibu Waziri wa Wizara ya Biashara ya Wau wa China, Li Jinzao, wa Makabidhiano ya gari la matangazo la Shirika la Utangazaji la TBC, yaliyofanyika mapema mwaka huu. Shughuli hiyo ya kutiliana saini imefanyika leo Juni 23, 2014, Ikulu jijini Dar es Salaam, ikishuhudiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao Naibu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais, Dkt. Bilal amkaribisha Makamu wa Rais wa China na Ujumbe wake Ikulu Dar leo, wasaini mikataba

1

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo juni 23, 2014 akiongozana na Ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.  Li Yuanchao, yupo nchini kwa ziara ya siku sita. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Li...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Dkt.Shein akutana na Makamu Mkuu wa Rais ZTE, leo

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu Mkuu wa Rais wa kampuni ya ZTE Bw.Huang Dabin,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo na Rais Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akifuatana na Makamu Mkuu wa Rais wa kampuni ya ZTE Bw.Huang Dabin,(kushoto) baada ya kumaliza mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA KUAPISHWA RAIS WA NIGERIA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na mtoto Ernest Nkayala alipowasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya kuapishwa Rais Mohammadu Buhari iliyofanyika leo May 29,2015 katika Uwanja wa Ego Squar mjini Abuja Nigeria.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mkewe Mama Asha Bilal, wakiwasili kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Nnamdi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani